Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bado tupo njia panda kwenye Mifumo, Mbinu na Style za uchezaji.

Potter bado ana kazi ya kufanya
Naungana na wanaosema huyu kocha hataendana na hawa wachezaji, pamoja na Havertz kukosa yale magoli lakini unaona wazi kabisa approach ya game haiendani kabisa na quality ya wachezaji. We need a very demanding manager with a clear winning phylosophy
 
Zile back pass za Enzo angekua anapiga jorginho hapo!, mngeongea kishenz
Back passes za Jorginho za kijinga. kwenye mpira back passes ni sehemu ya game startegic play. hakuna humu mtu anayekataa. Za jorginho zilizidi mno na anazipiga hata bila kuangalia. Kuna moja huko nyuma hadi kamfunga Kepa kwa sababu alipiga bila kuangalia kumbe Kepa alikaa pembeni mwa goli

Jorginho, Alonso na sasa huyu Cucurella wana back passes za kijinga ambazo haziko startegic

Mfano Alonso alikuwa yuko hata tayari apige chenga kurudi golini ili tu amtafute beki au kipa
 
Ili kupata ushindi kwenye hii ligi ya Epl kwa sasa inabidi uwe na timu inayocheza mpira wa Fasta ,pasi fupi na ndefu kwa haraka na umakini kwenye kumalizia ,timu zote zinazofanya vizuri pale Epl zinacheza hivyo ,sisi bado tuko slow kwenye build up ya mashambulizi na hatuko clinical sasa hilo bado ni tatizo
 
Naungana na wanaosema huyu kocha hataendana na hawa wachezaji, pamoja na Havertz kukosa yale magoli lakini unaona wazi kabisa approach ya game haiendani kabisa na quality ya wachezaji. We need a very demanding manager with a clear winning phylosophy
Boss miluzi alichofanya ni kuangalia talent inayovuma Iko wap, toa hela leta.
Mnaweza mkamtimua kocha akaja mwengine, naye akademand wachezaji wake.

Mnafanya project bila kumshirikisha kocha, Mpo serious kweli?
 
Kipindi cha pili mwishoni tulijitahidi kuwa quick with ball , hivyo ndicho tunachotakiwa kufanya ,hii ya kupiga back passes na kuwa slow ni tatizo kwani una mpa nafasi adui kujilinda
 
Tuwape pia Hongera Fulam. Hii Fulam sio ile ya misimu iliyopita iliyojaa a lot of individual errs. Hii ya sasa wana vijikosa vichache sana, wanaacuracy kubwa kwenye passi, wanakaba vizuri na wako very fast. Mfano first half Fulam walikuwa very fast kuliko sisi
 
Boss miluzi alichofanya ni kuangalia talent inayovuma Iko wap, toa hela leta.
Mnaweza mkamtimua kocha akaja mwengine, naye akademand wachezaji wake.

Mnafanya project bila kumshirikisha kocha, Mpo serious kweli?
Kwani hawa wachezaji ni wa Potter, ebu tupe ushahidi, Potter alishakiri mwenye hausiki na usajili, yeye anasubiri halafu afanye nao kazi
 
Naungana na wanaosema huyu kocha hataendana na hawa wachezaji, pamoja na Havertz kukosa yale magoli lakini unaona wazi kabisa approach ya game haiendani kabisa na quality ya wachezaji. We need a very demanding manager with a clear winning phylosophy
Labda bado anaendelea kuwaamini akina Havertz huenda watabadilika lakini si kwa ujinga ule wa kupata golden chance kisha unabutua kama Chama Makolokolo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom