Ndo tatizo Hilo, we huoni hata Arsenal, Edu hawezi kufanya usajili bila Arteta kupitisha.Kwani hawa wachezaji ni wa Potter, ebu tupe ushahidi, Potter alishakiri mwenye hausiki na usajili, yeye anasubiri halafu afanye nao kazi
Enzo kacheza clear pass nyingi sana mbele lakini washambuliaji ndiyo wamemuangushaZile back pass za Enzo angekua anapiga jorginho hapo!, mngeongea kishenz
Kwa Chelsea ni tofauti, kila timu ina utaratibu wakeNdo tatizo Hilo, we huoni hata Arsenal, Edu hawezi kufanya usajili bila Arteta kupitisha.
Labda kama Kuna kocha mwengine mnafikiria kichwani
Upande wa Mudryk hautumiki ni ngumu kuona ubora wakeLeo nikasema nimuangalie Mudryk labda nitaendelea kujilaumu kwa nini tulimuacha aende Chelsea.. dooh!😂😂
Kumbe ni mzururaji mzuri tu.
Ngoja nisimalize maneno, huenda 2nd half akani prove wrong.
NakaziaIli kupata ushindi kwenye hii ligi ya Epl kwa sasa inabidi uwe na timu inayocheza mpira wa Fasta ,pasi fupi na ndefu kwa haraka na umakini kwenye kumalizia ,timu zote zinazofanya vizuri pale Epl zinacheza hivyo ,sisi bado tuko slow kwenye build up ya mashambulizi na hatuko clinical sasa hilo bado ni tatizo

Kama mudryk kacheza dakika 45 why mount mpk sasa dakika ya 74 bado yupo na hakuna lolote analolifanya.
Fofana
Mudryk felixx madueke⁰
Kazi kuburuza nywele tu na kuuma midomo ananikera mimi ,
Sababu kuu ni wasiwasi wa injury ndio maana katolewa haraka HTUpande wa Mudryk hautumiki ni ngumu kuona ubora wake
Sasa timu inayofanya vizuri baada ya miaka 20 ndio unataka tuiige ? Kwa akili yako kabisa unaamini kwamba Potter kuna wachezaji aliwahitaji wazuri kuliko hawa alio letewa? Kwamba Potter ana football philosophy yake?Ndo tatizo Hilo, we huoni hata Arsenal, Edu hawezi kufanya usajili bila Arteta kupitisha.
Labda kama Kuna kocha mwengine mnafikiria kichwani
Kwani Brighton ilikuwa inacheza bila philosophy?Sasa timu inayofanya vizuri baada ya miaka 20 ndio unataka tuiige ? Kwa akili yako kabisa unaamini kwamba Potter kuna wachezaji aliwahitaji wazuri kuliko hawa alio letewa? Kwamba Potter ana football philosophy yake?
Embu nieleze falsafa na game plan ya Potter ni ipi? Kama sio muhamasishaji tu.kwanza wewe ni shabiki andazi maana kila kinachohusiana na Chelsea uko against.Kwani Brighton ilikuwa inacheza bila philosophy?
Hata Newcastle ili wakusajili wanaangalia kwanza phisicality Yako, ndo falsafa yao
Chelsea kwa kupanga vikosi tu hawajambo. Hapo kila wiki tutegemee kikosi kipya.mechi na westham tutegemee hivi
4-2-3-1
-------------------- Fofana ----------------------
Mudyrk --------------Felix ----------------Madueke
----------Enzo -----------------Gallagher----------
Chilwell ----- Badiashile ------ Silva ---------James
--------------------- Kepa ----------------------
Vipi ENZO hakucheza??Aston Villa akishinda anatupita sis tukuwa kwenye 11

Murdyk hakucheza??
Mpira wa kuuongolea JF sijui press,sijui speed unauweza sana,lakini uwanjani mataputapu tu

Wachezaji wote tulowasajili kutokea benfica walifanya vizuri darajaniEnzo anakuwa mchezaj wetu wa 4 kumsajili akitokea BenficaView attachment 2502012