Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo chelsea hawanaga Plan B, ndio mana mchezaji tunapgwa hela ndefu. Enzo hana thamani hiyo. Ni vile hatuna plan B.
Team ikishakaa stable hizo sajil unazozitaka ndio zitafanyika, na hiyo nikama kuanzia summer ya 2024 hapo ndio kazi yq scouting itakuwa inaonekana matumizi yq kusajil yatakuwa sio makubwa sana
 
20230201_011923.jpg
GOAT
 
Waliosainiwa Msimu huu tu. Timu yenye uwezo wa kubeba EPL
1. Andrey Santos
2. Benoit Badiashile
3. Carney Chukwuemeka
4. Cesare Casadei
5. Cesión de João
6. David Datro Fofana
7. Denis Zakaria
8. Enzo Fernandez
9. Gabriel Slonina
10. Kalidou Koulibaly
11. Makhailo Mudryk
12. Malo Gusto
13. Malo Gusto
14. Marc Cucurella
15. Noni Madueke
16. Omari Elijah Hutchinson
17. Pierre-Emerick Aubameyang
18. Raheem Sterling
19. Wesley Fofana
 
Ila Chelsea wawe makini tu maana hii mikataba ya 8 years ni kukwepa sheria za UEFA Financial Fair Play ambazo ni lazima timu isitumie zaidi ya mapato. Sasa Chelsea wanagawa pesa za usajili kwa miaka 8 ili wakwepe kufungiwa lakini project hii kama ikibuma watapata wakati mgumu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom