johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,252
hana spirit chezaj gan linaingzwa lina touching2Summer tuchel alikosea sana, kutulutea sajili za short term
Inaonekana Auba hayupo kwenye plan za Potter
hana spirit chezaj gan linaingzwa lina touching2Summer tuchel alikosea sana, kutulutea sajili za short term
Inaonekana Auba hayupo kwenye plan za Potter
Kiangazi lazima tusajil kiungo mwingineUkitaka kujua kwamba tuna shida sana ya viungo, Gallagher sio natural CM. CM pekee pale ni Enzo. Kwenye sub hakuna CM. akiumia Enzo tunategemea aingia Carne Chunwuemeka ambaye sio CM. Aisee akina Kova na Kante warudi haraka. Kiangazi pia tutahitaji sana kuongeza CM
View attachment 2505280
Inategemeana na maamuzi ya Tajiri, mfano enzi za Tajiri Abrahamovich, Didie Drogber naye alipigiwaga chapuo ili awe Mjumbe kwenye bodi ya Chelsea FC lakini halikutikiKuna watu wengi wanampigia chapuo Silva aajiriwe baada ya kutundika madaluga yake ya mpira ili abakie hapa hapa Chelsea kama mmojawapo wa technical staff.
Naunga mkono mada
Nini maoni yako
Shukrani Bosi kwa upendo na umoja wako kwetu wana Chelsea FC
Shukrani Bosi kwa upendo na umoja wako kwetu wana Chelsea FC
Ila kuna tofauti kubwa kati ya Drogba na Silva kwa maoni yangu. Silva ni kiongozi, ana influence na yuko very technical. Hizi sifa ni nje ya uwanja. Hizo attributes sioni kwa Drogba zaidi ya kuipenda Chelsea na kufanya vizuri uwanjaniInategemeana na maamuzi ya Tajiri, mfano enzi za Tajiri Abrahamovich, Didie Drogber naye alipigiwaga chapuo ili awe Mjumbe kwenye bodi ya Chelsea FC lakini halikutiki
Ingine hii hapa niliwahi kuwatumia huko nyuma ila sio hivi karibuniShukrani Bosi kwa upendo na umoja wako kwetu wana Chelsea FC
Silva wafanye juu chini wamebakisha kwenye benchi la ufundi siku akistaafu , Terry yupo Cobham ,hao ni malegend tayari napenda kuona vichwa kama hivi vinabaki pale Chelsea kuendeleza gurudumu .Ila kuna tofauti kubwa kati ya Drogba na Silva kwa maoni yangu. Silva ni kiongozi, ana influence na yuko very technical. Hizi sifa ni nje ya uwanja. Hizo attributes sioni kwa Drogba zaidi ya kuipenda Chelsea na kufanya vizuri uwanjani
Mpuuz sana Havertz ,hivi zile nafasi anazokosa anataka apate nafasi gani sasa ? , Tungekuwa tunaongeza si chini ya goli mbili mpaka sasa ,Hivi Havertz huwa mnampendea nini ambacho mimi sikioni? Huyu kenge anaharibu timu kabisa
Mpuuz sana Havertz ,hivi zile nafasi anazokosa anataka apate nafasi gani sasa ? , Tungekuwa tunaongeza si chini ya goli mbili mpaka sasa ,

aingine madueke ambae ni mzuri kwenye 1v1