This is La T y La M for Enzo
From Argentina to England, with the smile of someone that won the third title, you already know who it is
Enzo Fernandez, he's off to LondonView attachment 2503758
Hivi mnamkumbuka yule shabiki wenzetu hapa anaitwaga Enzo, wanapishanaga kauli na lembu.
Aisee yuko wapi ajitokeze kupongeza chama limemsajili wa jina Enzo.
Huyu jamaa sisi wote tuna ingia toka kama zote yeye hajawahi kukoma hili jukwaa. Yan mara zote namkuta jukwaani. Jamaa anastahili heshima kweli anajitahidi sana
Sorry ndg. Nkunku sio striker, yeye ni foward, anacheza cheza kama winga hasa wa kulia na au CAMChelsea inahitaji kiungo mmoja tu fundi mkabaji Striker tunae Nkuku na Fofana na huyo kiungo ni wa kusaidiana tu na Santos
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia 💯Chelsea inahitaji kiungo mmoja tu fundi mkabaji Striker tunae Nkuku na Fofana na huyo kiungo ni wa kusaidiana tu na Santos
Ila sasa unampata wap? Lukaku kazingua na sokoni hamna striker wa maana huyoa Auba mayai nae kashachemka ni bora tutengeneze tu team na hao false striker mfano Pep alitengeneza team bila natural striker na ikaheat ikiwa team inacheza vyema hata mtu wa kawaida atafunga tu... tuwape nafas hawa wa academy naamini tutampata mmoja wa kuaminika haswa ukizingatia league ya England ni ngumu kwa mastriker wagen imagine amekuja Falcao kafeli, Higuain, Shevchenko hata wale walioingia team zingine mfano Firmino sasa kulingana na team tuliyo nayo tujiulize iv Salah na Mane ni namba 9? Man city baada ya kuondoka Aguero ilibid wasubir hhad Haaland aje maana Jesus alishindwa kudeliver lazima tupate creative coacher ambae ataweza kuwa mbunifu kumbuka tulibea CL bila hao natural striker labda Giroud pekeeSorry ndg. Nkunku sio striker, yeye ni foward, anacheza cheza kama winga hasa wa kulia na au CAM
Yeye ni kama Havertz, akicheza nafasi ya striker ni false no. 9
Tunahitaji natural striker kama alivyo Haaland
Mtu clinical kwenye kutumbukiza mpira wavuni
Tunaweza mjenga Datro na Broja, wasipoweza basi waliopo watacheza hiyo false namba 9Ila sasa unampata wap? Lukaku kazingua na sokoni hamna striker wa maana huyoa Auba mayai nae kashachemka ni bora tutengeneze tu team na hao false striker
View attachment 2504554
Tulipoishia kila la kheri Fulham
Timu yangu pendwa toto utotoni
Willian man of the match
Joao Felix red card
Game ya kwanza ya Malo baada ya kuwa mchezaji wa Chelsea- tutatisha sana 2023/24
bado anatumikia red card aliyopewa dhidi ya Fulam, hii mechi ndiyo ya mwishoWazee hivi leo Jao Felix atacheza? Adhabu ya Red card imeisha?
Enzo atacheza kweli leo ????---------- Harvetz ---------
Mudryk --- Mount ---- Ziyech
-----Gallanger --- Enzo ------
Cucu - Badiashile - Silva - Chalo
Itakuwa mount na gallagher enzo sizan kama atachezaDah asipocheza leo pale katikati atacheza nani?
Gallagher
Kovacic - Majeruhi
Kante - Majeruhi
Zakaria - Majeruhi
Cheek - Majeruhi 50/50
Au watacheza Mount na Gallagher?
Sijajua ila kama havijakamilika hiviVibali vimekamilika?
Vibali vimekamilika?
Vibali vimekamilika?
Naheshimu mawazo yako Kaka, ila Mr Lembu huwa yuko vizuri sana maana hujua kumuelezea mchezaji wasifu wake katika nafasi ya uchezaji, kupanga kikosi kinachoweza kuleta matokeo chanya, kuwa na kumbukumbu za rekodi za Wachezaji wa nyuma, pia hata namna ya ufatiliaji wa taarifa za mabadiliko ya klabu mara kwa mara.Kwenye kureport yupo vizuri Sana yaani anafaa kwenye uking wa ujournalism nakuunga mkono ila sio kwa uchambuzi
Lembu siku nyingi tulishampa cheo cha kuwa Administrator wetu hapa.
Ila muda mwingine anabaki nyuma nyuma anatupiga mishale mgongoni kwenye uchambuzi wake
