Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Enzo Fernandez, Mykhailo Mudryk, Benoit Badiiashile, Malo Gusto, Andrey Santos, David Datro Fofana, Joao Felix and Noni Madueke all pitched up at Stamford Bridge last month, while the club also confirmed that Christopher Nkunku will join in the summer for £63m from RB Leipzig.

And on Thursday, Boehly and Eghbali were pictured watching their new additions in action ahead of the Blues' Premier League clash with Fulham on Friday.

Several of Chelsea's winter purchases such as Noni Madueke, David Datro Fofana were in action at Cobham, but there was no sign of Enzo Fernandez after he completed a record-breaking £107m to the club on deadline day.

Wantaway forward Hakim Ziyech was also training, despite his move to PSG falling through at the last minute.
 
Here we go!View attachment 2504308View attachment 2504307View attachment 2504313View attachment 2504309View attachment 2504310View attachment 2504312View attachment 2504311View attachment 2504314
1675375940048.jpg
 
Mkuu ile backline we unaiona ikiwa salama pamoja na Fofana mchezaji aliyeprove ni injury prone halafu unamuacha Badiashile ambaye keshaprove kuwa imara kwenye ile nafasi? Si bora huyo Fofana ndio abaki ligi kuu halafu Badiashile ndio asajiliwe UEFA.

Japokua hakuna mchezaji ambaye ni injury free ila mi nachukua Badiashile badala ya Fofana
Changamoto iliyoko ni kati ya Badiashile na Felix lazima mmoja aachwe
Sasa Felix anahitajika zaidi ya Badiashile
Halafu tukumbuke pia kuwepo kwa fowards wazuri mbele itasababisha namna tunavyoshambuliwa ibadilike pia. Sasa hivi hatutakuwa tunashambuliwa kiholela tu kama zamani. Utashangaa hata akina Koulibally wakaanza kucheza vizuri kwa sababu watacheza kule nyuma kwa utulivu huku kule mbele akina Mudryk wakiwaweka bussy timu pizani
 
Willian : “My family, my daughters, they love Chelsea so before the game I asked: who are you going to support tomorrow? they said, ‘Chelsea!’ I said, ‘No, but Daddy plays for Fulham now’. They said, ‘We know, Daddy, you can play good, you can score but we are supporting Chelsea”
 
Sababu za Enzo kupigania kusajiliwa Chelsea

‘I'm really happy with the opportunity that Chelsea has given me and I will give my everything to achieve the club's goals,’ Enzo explained.

‘As a player and a person, I offer good energy, good vibes and I will give my all and support my team-mates to make them even better.

‘Chelsea is a big club, it's a club that is always fighting for trophies and has won the Champions League in recent years. Together, we will look to achieve everything the club wants and take it to the next level.

‘Myself and my family are really happy to be here in London and to be able to enjoy the city. I think it's a really beautiful city, so we will enjoy it and have a good time.

‘I haven't yet played against any of my new team-mates and I haven't yet had the chance to chat with any of them but I do know who they are and I’m looking forward to working with them all!’

Kumbe Rui Costa na Chelsea walikubaliana kwanza Enzo abaki mkopo hadi July 2023 ila Enzo akakataa na kudai anataka uhamisho kamili. Na Rui Costa alikubali Enzo asajiliwe kwa Euro 100M tu kama Chelsea wangekubali Enzo abakie huko Benefica kwa mkopo. Chelsea kwa upande wao walikubaliana na proposal ya Rui Costa lakini Enzo hakuafiki, aling'ang'ana kuhamia Chelsea January hii.
Nasikia pia Enzo alikuwa kama mbogo baada ya kusikia Chelsea wamekubali kulipa Release Clause na pale aliwasumbua sana akina Rui Costa na Kocha na wao wakaona wakimlazimisha hataichezea vizuri Benefica, ndipo walipokubali aondoke tu

1675387972945.png

1675387993744.png
 
Kiangazi kutakuwa na fainali kubwa kwa Declan Rice kati ya Arsenal na Chelsea

1675387818472.png
 
Baada ya Abramovich kuwekewa vikwazo na Chelsea yote kunyimwa kutumia pesa kama kawiada, na akina Rudiger na Christansen kuondoka kwa sababu ya vikwazo kulikuwa na FURAHA kila kona ya dunia kwa wale amshabiki wa timu pinzani, walitusodoa na kutita hii klabu inaenda kufa mara itashushwa daraja ambako huko ndiko tunastahili mara tutakuwa midtable team. Na hata matokeo yalivyoanza kuwa mabaya wao waliendelea kuwa na Furaha

Sasa baada ya usajili wa Kiangazi mwaka jana walidhani tunatania, usajili huu wa january VILIO kila kona ya dunia kwa wale wale wapinzani. Wengine wamediriki kukimbilia UEFA kwa FFP ili tuchunguzwe. Wao UEFA baada ya kuona kwamba hakuna breach yeyote tuliyofanya wameamua tu kuyafanyia marekebisho sheria zao msimu ujao

VIVA THE BLUES
 
Huyu jamaa binafsi simkubali kabisa Bora hata chelsea waende kwa Edison Alvarez wa Ajax au Caicedo
Declan Rice ni natural DM mzuri ila option ya Caicedo itaendana na timu kwa sababu ana 21 tu wakati Rice ni 24 sasa
Niwatofautishe kwenye maeneo matatu muhimu
  1. Kushambulia - Wote sio wazuri sana kwenye kushambulia
  2. Kuwachezesha wenzake - Wote wamefanana, ni wazuri kwenye kuwachezesha wenzao
  3. Kukaba - Declan Rice ni mzuri kidogo (kwa mbali) kwenye kukaba zaidi ya Caicedo
Maoni yangu, generally wametofautiana padogo sana, Declan Rice ni mzuri kidogo overal kuliko Caicedo sababu kuu ni uzoefu. Naamini Caicedo anapoendela kucheza atakuja mpita mbali Declan Rice

Pamoja na uziri wa mbali alionao Rice dhidi ya Caicedo bado Caicedo ni option nzuri kuliko Rice -IMO
 
Rice naonaga ukabaji wake ni wakawaida Sana na sio haina ya midfielder ambaye anauwezo wa kudominate game same to Caicedo ila kwenye ukabaji kwa upande wangu naona Caicedoni mzuri zaidi kwenye kukaba Sana kuliko Rice
 
Ndio maana tuna tajiri mzuri mwenye maono
malengo makuu
  1. Ushindani mkubwa wa timu wanapocheza
  2. Uendelevu katika kucheza vizuri
Ili kuhakikisha hayo yanatimia, uwekezaji mkubwa utafanywa kwenye idara ya michezo ili kuwa na uwezo wa kubainisha, asili na kuendeleza vipaji kwa kipindi kirefu na kwa kutumia falsafa inayoongozwa na takwimu za kisasa

1675389585215.png
 
LIne up ya leo vs Fulam
Formation 4-2-3-1

--------------------- Havertz ----------------------

Mudryk --------------- Mount --------------- Sterling

--------Enzo --------------------- Gallagher --------

Chilwell ------- Badiashile ------- Silva ------- James

--------------------- Kepa------------------------
 
Aanze Ziyech instead of sterling
 
Work Permit ya Andrey Santos
Kibali cha kufanya kazi nchini Uingereza kwa Andrey Santos ilikataliwa mara ya kwanza
Sasa Chelsea wameanza tena kuomba kibali kwa mara ya pili huku wakidhani kuwa performance nzuri ya Santos kwenye micuano ya U20 bara la Amerika ya Ksuini itawapa point nyingi ya Santos kukubaliwa kufanya kazi nchini Uingereza
Ili kibali kitolewe ni lazima baadhi ya maafisa muhimu wa serikali ya Uingereza waipe baraka kibali hicho. Mara ya mwisho kibali kilishindwa kupita kwa point moja tu

Sasa baada ya Santos kufunga goli nne kwenye mechi nne alizoechezea Brazil, Chelsea wanaamini hiyo inaweza kuwashawishi maafisa waliokataa ku-endorse kibali hicho safari hii watalainika
 
Vipi kuhusu kibali Cha Enzo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom