Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,023
Huyo Jamaa kweli ameadimika sana sasa hivi, huwa namchukulia kawaida pamoja na kupishana na Mr Lembu maana hakuna Binadamu atayeridhisha kila Mtu bila kukosa upinzani.Hivi mnamkumbuka yule shabiki wenzetu hapa anaitwaga Enzo, wanapishanaga kauli na lembu.
Aisee yuko wapi ajitokeze kupongeza chama limemsajili wa jina Enzo.






