lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,491
Sijaona sehemu ila watakuwa wameclear kwa sababu kama bado maan yake hatacheza UEFAVipi kuhusu kibali Cha Enzo?
UEFA deadline ilikuwa leo saa nane usiku ya tareh 2 Feb 2023 na imeshapita. So naamin i hadi jana watakuwa wamesha clear. Work permit kwa wachezaji waliokwisha jenga majina na wanachezea timu za jumuiya ya Ulaya inakuwa easy tofauti na Santos ambaye hana jina na anatokea bara lingine

