Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,024
Ndiyo dunia hiyo Mzee Baba, tangu lini Binadamu tukawa na jema pasipo kukosoa kosoa bila ya kuwa na shukrani [emoji848][emoji2]Wanadamu ni watu wa ajabu sana.
Ukicheza kwenye maji watasema unawatimulia vumbi.
Kuna comments HASI zinatolewa hapa mpaka unashangaa.
Kwamba wakati tunasonga mbele kufika nchi ya ahadi kubeba tena makombe,
Kuna wenzetu wanabaki nyuma nyuma wanatupiga mishale migongoni.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app