lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Chelsea kwa sasa tuna mfumo na wachezaji tofauti kabisaMount & Harvetz waamke usingizini wapambane kweli kweli kwa miezi 6 iliyobaki ya kumaliza msimu 2023.
BOEHLY na EGHBALI hawa matajiri wako serious kwenye kujenga timu ya ushindi, hawakawii kufanya maamuzi magumu juu yao endapo wataendeleza upuuzi uwanjani.
By the way Nkunku yuko njiani anakuja.
Akina Havertz, Mount and co ni kama wamehamia timu nyingine
Tegemea uchezaji wa Havertz, Mount, Sterling na hao wenyeji wengine utabadilika.
Kwa ambao hawatabadilika Boehly sidhani kama atawabeba