Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

inawezekana ila kanuni ndio hiyo iliyoelezwa
kujaza nafasi za wazi ambapo sisi tuna 2 ya jorginho na iliyokuwa wqzi tu
pili kuweka jina la tatu kwa kum unregister mmoja ambaye wengi wanampendekeza pulisic kwa sababu ya majeruhi
kama inafaa ivo n bora2 maana kubeba injury af umbakze mtu kama felix au badiashile n atar zaid
 
Hapo Potter achague tu Enzo,Mudryk na Felix

Hatuna kiungo zaidi ya Enzo, Kante mpaka mwez wa 3 mwanzoni.

Kwa kuwa Fofana karudi, Badiashile ningemfanya awe kwenye league huku Silva na Fofana wakirotate katika league
Daah yan umuache Badiashile kabisa? Huyo Fofana ndio wakubaki kwenye ligi maana jamaa ni kama gari ya mkaa spana mkononi akiumia je?
 
am sure Hawa matajiri wenu na ujambazi itakuwa wamewahi kufanya

Day of the Mudryk hijack : Behdad Eghbali called Shakhtar CEO Sergei Palkin to say, "I'm here". Palkin replied, "What do you mean, here?" Eghbali had already checked into Shakhtar's team hotel after flying over by private jet. (@nytimes) #CFC
 
Unajua bei ya Savic na umri wake. Trust the analysts team wasiwasi ni kwa kocha tu ila sajili makini kabisa

Kwa maoni yangu, Enzo ni upgrade ya Gallagher, fighting spirit ndiyo inayomsaidia ila siyo mkali kihivyo.

Kati ya Enzo na Savic, me ningeondoka na Savic
Pamoja na Savic kuwa na umri mkubwa 27 February hii anafikisha miaka 28 lakini bado Enzo amemuacha kwa sehemu kubwa huyo Savic wako.
Angalia hizo za kijani ziko upande gani kwa wingi
Dunia nzima inasema Enzo ndie kiungo bora kabisa duniani kwa sasa, wewe tu ndie unayeona tofauti
1675348607031.png
 
am sure Hawa matajiri wenu na ujambazi itakuwa wamewahi kufanya

Day of the Mudryk hijack : Behdad Eghbali called Shakhtar CEO Sergei Palkin to say, "I'm here". Palkin replied, "What do you mean, here?" Eghbali had already checked into Shakhtar's team hotel after flying over by private jet. (@nytimes) #CFC
Huyo Eghbali ni jambazi wa kupora wachezaji, yaani alivyompora Mudryk kutoa Arsenal hadi dunia nzima ililaani
 
Team news vs Fulham

Mateo Kovacic, N'Golo Kante, Christian Pulisic, Armando Broja and Denis Zakaria are out of the game tomorrow

Ben Chilwell, Reece James, Raheem Sterling and Ruben Loftus-Cheek are the squad, not 90 minutes. Wesley [Fofana] partly with the team, stepping up next week.
Je Wesley Fofana, Felix na Mendy nao nadhnai hawatakuwepo
 
am sure Hawa matajiri wenu na ujambazi itakuwa wamewahi kufanya

Day of the Mudryk hijack : Behdad Eghbali called Shakhtar CEO Sergei Palkin to say, "I'm here". Palkin replied, "What do you mean, here?" Eghbali had already checked into Shakhtar's team hotel after flying over by private jet. (@nytimes) #CFC
hawa ni mafia. Huyu Eghbal ukiskia issue ya Enzo unaambiwa yeye jibu la No hakutaka kuliskia
 
Pamoja na Savic kuwa na umri mkubwa 27 February hii anafikisha miaka 28 lakini bado Enzo amemuacha kwa sehemu kubwa huyo Savic wako.
Angalia hizo za kijani ziko upande gani kwa wingi
Dunia nzima inasema Enzo ndie kiungo bora kabisa duniani kwa sasa, wewe tu ndie unayeona tofauti
View attachment 2503817
Huyu savic anaimbwa miaka yote na tetesi ila hakuna team yoyote kubwa iliyowah peleka hata offer
 
Uchezaji wa Badiashile ni kama wa Silva, japo hamkuti ila ni mtulivu, timer mzuri na mwepesi. Hana papara kama za akina Chalobah na Koulibally
Kwa heshima ya Mashabiki wenzangu wote wa Chelsea FC hapa JF naomba Mr Lembu atambulike rasmi kwa jina MR CHELSEA tokana na uchambuzi wake mahiri wa soka kuhusu Chelsea Football Club.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Leo hii Chelsea wamethibitisha idara ya michezo itaundwa na

Laurence Stewart & Paul Winstanley - Co-Sporting Directors hawa ndio watasimamia mambo yote kuanzia talent,scouting,recruitment na data.

Christopher Vivell - Technical Director

Joe Shields, Kyle Macaulay, Jim Fraser - talent management and recruitment

Matthew Hallam - data and analysis

Todd Boehly & Behdad Egbhali hope that clubs will report to Paul Winstanley or Lawrence Stewart for any transfer dealings although they will remain actively engaged owners of Chelsea Football Club. (@TheAthleticFC)

View attachment 2503948
 
Kwa maoni yangu, Enzo ni upgrade ya Gallagher, fighting spirit ndiyo inayomsaidia ila siyo mkali kihivyo.

Kati ya Enzo na Savic, me ningeondoka na Savic
Hii ndiyomaana halisi ya Binadamu, lazima tutofautiane mitazamo.

Hata nami simkubali kiviile lakini muda ni hakimu sahihi, tumtakie heri katika upambanaji wake ndani ya Chelsea FC.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Team news vs Fulham

Mateo Kovacic, N'Golo Kante, Christian Pulisic, Armando Broja and Denis Zakaria are out of the game tomorrow

Ben Chilwell, Reece James, Raheem Sterling and Ruben Loftus-Cheek are the squad, not 90 minutes. Wesley [Fofana] partly with the team, stepping up next week.
Naomba official link ya kuuangalia huu mpira Wakubwa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Leo hii Chelsea wamethibitisha idara ya michezo itaundwa na

Laurence Stewart & Paul Winstanley - Co-Sporting Directors hawa ndio watasimamia mambo yote kuanzia talent,scouting,recruitment na data.

Christopher Vivell - Technical Director

Joe Shields, Kyle Macaulay, Jim Fraser - talent management and recruitment

Matthew Hallam - data and analysis

Todd Boehly & Behdad Egbhali hope that clubs will report to Paul Winstanley or Lawrence Stewart for any transfer dealings although they will remain actively engaged owners of Chelsea Football Club. (@TheAthleticFC)

View attachment 2503948
Ni yupi kati yao hao alitokea ile klabu ya Leipzig ya Ujerumani?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom