Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wewe jamaa Ni Chelsea kweli kweli ,usingizi ulikuwa hupati kabisaJana usiku nililala saa 2 kama nusu, baada ya kupitia page ya Fabrizio twitter, Rui Costa bado amekuwa mgumu. Nikalala
Nikashtuka saa 5 kasoro nikawasha data, nikafungua page ya Fabrizio dah nikakuta mchakato bado mgumu. Nikalala
Nikashtuka saa 10 usiku nikawasha data nikafungua page ya Fabrizio yale mawenge ya usingizi nikaona maandishi makubwa HERE WE GO
Sikuweza kuyasoma yale maandishi mengine madogo ila kushuka chini nikaona picha ya Enzo kwenye uzi wa THE BLUES anatabasamu.
Nikakurupuka kitandani nikashuka chini kushangilia kidogo, nikaenda toilet.
Then Nikachukua simu niisome vizuri hiyo taarifa inasemaje vile kuhusu Enzo.
Dah Chelsea mpya yenye kizazi kipya cha makombe imezaliwa upya.
Ndio maana natamani dirisha kubwa lifike tumalizie kuondoa mabaki ya zamani (Pulsic, Ziyech, Azip, Cheeck na wazee Wa kimila Auba & Koulibaly) ili mwanzo mpya uwe mwanzo kweli kweli.
Kante, Kovacic & Silva hawa wazee ni wa kazi. Kijiji hakikosi wazee wachapa kazi, watiifu na wenye busara kwenye kazi