juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Santos / KanteMkimkosa Enzo ,DM atakuwa Nan na jojino mmeshauza
Santos / KanteMkimkosa Enzo ,DM atakuwa Nan na jojino mmeshauza
Huyu santos inabidi apewe nafasi tuone uwezo wake maana kule Brazil anakichafua balaaSantos / Kante
Tatizo chelsea hawanaga Plan B, ndio mana mchezaji tunapgwa hela ndefu. Enzo hana thamani hiyo. Ni vile hatuna plan B.

Anatembea na umafia wa Roman Abramovich au sio ?Toddy Ni Mafia ,atakuwa hata biashara haramu ameshafanya
Hii habari Fabrizio ameikanushaNilikuwa naangalia SkySport wanasema TV moja ya Lisbon wanadai ni kweli Enzo ameshafanya Medical kule kule L:isbon







Tokea asubuhi nilikuwa nasubiri hii kauli, sasa naweza lala kwa amani. Tusubirine uwanjani sasa. Viva Chelsea

Boehly n Eghbal ndio maana Roman aliwachagua



KabisaHere We GoBoehly n Eghbal ndio maana Roman aliwachagua
Hii ni moja ya dirisha bora tulilowah kufanya, 10/10View attachment 2501999