Ukawaida wake ukoje?Huyu ni enzo ni mchezaji wa kawaida tu ila promo ni kubwa na hela pia ni ndefu.
Ukawaida wake ukoje?Huyu ni enzo ni mchezaji wa kawaida tu ila promo ni kubwa na hela pia ni ndefu.
Kwani fabregas anacheza kiungo Cha chini?Asipoflop, Enzo ataleta utatuzi wa muda mrefu kwenye kiungo ambayo Fabregas aliondoka nayo
Sema valera ni mtu na nusu yani ni bonge la mchezaj yan chelsea tungempata hata huyu ingekuwa safi sanaAnayetuchelewesha ni Alan Valera kutoka Boca Juniour, mchezaji ambaye Benefica wanajmalizia kumsajili kuchukua nafasi ya Enzo Fernandez
Kabisa yaniHii issue ya Enzo ni mpka nione Here We Go, au Exclusive ya David OrnsteinView attachment 2500962
Nasikia mkimaliza kumnunua Enzo mnataka na kumnunua Caicedo![]()
Hapo ni Malo Gusto na Enzo Fernandez ndio wanafunga dirisha hili la usajili.
Brighton wanazingua Sana eti NOT FOR SALENimevutiwa na point ya huyu jamaa
Nilishasema hawa vijana wanajitahidi waonekana wanaweza ili wasajiliwe kwenye timu kubwa wakatimize ndoto zao na kupata klipato kinachoridhisha. Sasa wanapogomewa na wao wanagoma kucheza vizuri mwisho wake Timu inazorota
Case study
Everton tuliwapa mil 60 kwa Anthony Gordon wakakataa sasa wakiwa kwenye ahatari ya kushuka wamemuuza kwa mil 40 na wachezaji wanagoma kwenda kwenye jahazi linalozama
Leicester city waligoma kuwauza akina Madison na Youri Tielemans sasa nao wamekumbwa na poor form ya wachezaji na bad performance
Ndio maana makocha wanaojua hili hawawazuii hawa vijana kutoka kama wamedhamiria wasije baadaye kuwa mizigo
Brighton inaweza kuwa the next
Wasipowaruhusu akina Caicedo kutoka wataporomoka na msimu ujao watakuwa wanaishi kwa matumaini. Watakujka kumuuza Caicedo kwa mil 40
View attachment 2500485
Ni kama amekataaDeal tunazofanya na Benfica siku zote huwa zinaugumu
Kuanzia kwa David Luiz na sasa kwa Enzo
Kwa David Luiz ilibidi hadi tuweke mchezaj Nemanja Matic kipindi hiko.
Kwa Enzo mpka sasa tunasubir jibu la Rui Costa
seems RUI COSTA anataka kumalizia shida zake zote kwenye hili dili.Ni kama amekataa
Mazungumzo yanaendelea asubuhi hii. Shida ni kwenye fee structure
View attachment 2501043
Changamoto ipo kwenye kiasi anachotaka apewe awali (upfront)Ni kama amekataa
Mazungumzo yanaendelea asubuhi hii. Shida ni kwenye fee structure
View attachment 2501043
Uhakika wa 100% hawatarudi Lisbon bila ya mchezaji na naona mazungumzo haya ya asubuhi ndio ya mwisho. Mwali lazima aletwe darajani for sure!Changamoto ipo kwenye kiasi anachotaka apewe awali (upfront)
Maamuzi yako kwa Rui Costa ikishindikana itabidi kuactivate RC yake tu ndio option ya mwisho na ambayo haiwezi kataliwaUhakika wa 100% hawatarudi Lisbon bila ya mchezaji na naona mazungumzo haya ya asubuhi ndio ya mwisho. Mwali lazima aletwe darajani for sure!