Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ishu sio ku-active release clause yake, ishu ipo kwenye muundo wa malipo.

The BLUES inataka kulipa hiyo 120M kwa installments ili wasiingie kwenye rungu la FFP.

Kwamba watangulize kwanza 60M inayobaki ilipwe kidogo kidogo kila mwaka.

Na wataongeza 10M nyingine (kumaintain value of money kwa kulipa kwa mafungu)

Rui Costa anataka ilipwe yote kwa pamoja 120M. Hataki mafungu mafungu.

Hapo ndipo maongezi yalipo sasa (Muundo wa malipo)
mi naona chelsea watoe mzigo wote kisha na wao leo wauze ili walau kubalance vitabu - naona kuwa wachezaji wawili - mmoja Arsenal na Mwingine PSG

Chelsea midfielder Jorginho Arsenal and Ziech to PSG. Move ya Conor Gallagher nayo ipo on.

Leo ni busy day - mpaka ifike saa 6 usiku watu watakuwa hoi.
 
Ishu sio ku-active release clause yake, ishu ipo kwenye muundo wa malipo.

The BLUES inataka kulipa hiyo 120M kwa installments ili wasiingie kwenye rungu la FFP.

Watangulize kwanza 60M inayobaki ilipwe kidogo kidogo kila mwaka.

Na wataongeza 10M nyingine (kumaintain value of money kwa kulipa kwa mafungu)

Rui Costa anataka ilipwe yote kwa pamoja 120M. Hataki mafungu mafungu.

Hapo ndipo maongezi yalipo sasa (Muundo wa malipo)
juan david yuko sahihi kabisa, tatizo la Rui Costa anataka pesa nyingi upfront, au RC yote, kwa sababu muda hatuna, ile mil 10 waliyoongeza waondoe halafu walipe RC yote. Wao walishatoa hayo masharti tangu mwanzoWawape tu Eur 120m badala ya 130m. End of story
 
Tatizo la akinaBoehly bado wanataka kununua wachezaji kwa staili hiyo. Sasa wakilipa yote Eur 120m maana yake wampe Enzo mkatab hata wa 10yrs ili wasambaze hizo peza kwenye hiyo miaka itakuwa kama 12m kwa mwaka mmoja
 
Paundi 12m sio haba kabisa

1675158877044.png
 
Ishu sio ku-active release clause yake, ishu ipo kwenye muundo wa malipo.

The BLUES inataka kulipa hiyo 120M kwa installments ili wasiingie kwenye rungu la FFP.

Watangulize kwanza 60M inayobaki ilipwe kidogo kidogo kila mwaka.

Na wataongeza 10M nyingine (kumaintain value of money kwa kulipa kwa mafungu)

Rui Costa anataka ilipwe yote kwa pamoja 120M. Hataki mafungu mafungu.

Hapo ndipo msingi wa maongezi yalipo sasa (Muundo wa malipo)
Naelewa hilo nimesema endapo hilo la muundo wa malipo likishindikana option ya mwisho itakuwa ni kuactivate release clause yake japo ningumu kulipa pesa yote at once.
 
Jorginho anaondoka unaweza kuwa good news na bad news vile vile.

Bad news ni endapo tukashindwa kumsajili Enzo, Santos peke yae hawezi tosha, viungo wetu wengi ni injury prone, mda wowote wanarudi wodini

Good news ni tumepata pesa japo ni kidogo £12M kwa mchezaj aloyebakiza 5months sio haba, vile vile tumeanza punguza baadhi ya player wasioendana naproject.
 
juan david yuko sahihi kabisa, tatizo la Rui Costa anataka pesa nyingi upfront, au RC yote, kwa sababu muda hatuna, ile mil 10 waliyoongeza waondoe halafu walipe RC yote. Wao walishatoa hayo masharti tangu mwanzoWawape tu Eur 120m badala ya 130m. End of story
Enzo ni suala la muda Tu huoni tumemuacha joginho.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom