Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

RUI COSTA:
Sema neno moja juu yake na kisha Enzo tunampata kirahisi
D6R5Kf7WsAEdyxD.jpg
Hili jamaa ni king'ang'anizi sana
 
Nimevutiwa na point ya huyu jamaa
Nilishasema hawa vijana wanajitahidi waonekana wanaweza ili wasajiliwe kwenye timu kubwa wakatimize ndoto zao na kupata klipato kinachoridhisha. Sasa wanapogomewa na wao wanagoma kucheza vizuri mwisho wake Timu inazorota

Case study

Everton tuliwapa mil 60 kwa Anthony Gordon wakakataa sasa wakiwa kwenye ahatari ya kushuka wamemuuza kwa mil 40 na wachezaji wanagoma kwenda kwenye jahazi linalozama

Leicester city waligoma kuwauza akina Madison na Youri Tielemans sasa nao wamekumbwa na poor form ya wachezaji na bad performance

Ndio maana makocha wanaojua hili hawawazuii hawa vijana kutoka kama wamedhamiria wasije baadaye kuwa mizigo

Brighton inaweza kuwa the next
Wasipowaruhusu akina Caicedo kutoka wataporomoka na msimu ujao watakuwa wanaishi kwa matumaini. Watakujka kumuuza Caicedo kwa mil 40

1675095429388.png
 
Shida moja ya hili dili la Enzo, Marina hayupo pale, lingeshaisha siku nyingi. Pale wameenda wanaume tu, tena na wamiliki. sijui wananegotiate nini. Huwezi kwenda sokoni na bosi tajiri anayejulikana halafu utegemee kupunguziwa bei ya bidhaa. NO
1_GettyImages-1236346060.jpg
 
Kuna taarifa kwamba sasa Benefica wako wamejitenga kufanya maamuzi ya aidha wakubali ofa ya Chelsea ya Eur 120M au waikatae. Ikikubalika hii itakuwa ni ada iliyovunja rekodi ya usajili nchini Uingereza
 
Kuna taarifa kwamba sasa Benefica wako wamejitenga kufanya maamuzi ya aidha wakubali ofa ya Chelsea ya Eur 120M au waikatae. Ikikubalika hii itakuwa ni ada iliyovunja rekodi ya usajili nchini Uingereza
Wafanye maamuz haraka ili tujue kama tunatafta mbadala au laa
 
Chelsea Dodgers wanaripoti kuwa dili linaelekea kukubaliwa, nafikiri bado Mr Rui Costa hajatoa maamuzi ila kwa ushawishi mkubwa watakubali ofa ya Chelsea ya Kulipa Eur 60M na iliyobaki katika miaka mitano

BREAKING: Benfica and Chelsea set to agree record transfer fee for Enzo Fernandez • ~€130m offer compensates Benfica for payment by instalment • Argentina midfielder missed training today as he pressed Lisbon club to reach a compromise deal.

Pia Fabrizio anaripoti kuwa dili sasa liko kwenye hatua nyeti nyeti sana

1675099296312.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom