Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hall aboreshe unamaliziaj wake chance za kufunga anapata

Galagher leo kwenye double pivot alikuwa poa,mda wote anapress anatafuta space

Ziyech leo alikuwa fresh kuanzia kushambulia hadi kwenye kujilinda.

Chalobah kama rb kacheza vizuri, japo kuna mapepe flan bado anayo.

Silva sina neno kwake, nusu ya wachezaj wetu wangekuwa wanacheza kamq yeye tusingekuwa hapa tulipo.

Badiashile yuko poa hana papara akiwa na mpira hata katika ukabaji wake, natumai ataendelea hivi hivi

Havertz kama angekuwa makini leo angetoka na Hat trick,

Wiki ijayo tuko dhid ya majogoo ya jiji(liverpool) tunahitaj kushinda ili tuendelee kupata kujiamini
 
Jorgninho vipi, mimi nimesema huyo kama punda, hatabadilika. Akiwa na mpira katika karibu na goli hadi arembe ajifanyue anajua sana, mpuuzi yule. GP asimpange ataendelea kutuzamisha

Silva huyo anatoka sayari nyingine, PSG sijui waliona nini wakamuachia
 
Marcus Thuram kwa Paundi mil 10 ni sawa na bure au kwa sababu July ataondoka bure

licensed-image
Huyu thuram mbona nilimuona WC anarukaruka tu, hakuna mchezaji hapa.
 
Hv yule kipa wa USA tuliyemsajili wakasema Januari ndio atakuja, vp imefikia wapi.?
 
Jorgninho vipi, mimi nimesema huyo kama punda, hatabadilika. Akiwa na mpira katika karibu na goli hadi arembe ajifanyue anajua sana, mpuuzi yule. GP asimpange ataendelea kutuzamisha

Silva huyo anatoka sayari nyingine, PSG sijui waliona nini wakamuachia
Shida hatuna viungo, unasema Jorginho asipangwe nani apangwe sasa?
Kante injury
Zakaria injury (1month)
 
Hall aboreshe unamaliziaj wake chance za kufunga anapata

Galagher leo kwenye double pivot alikuwa poa,mda wote anapress anatafuta space

Ziyech leo alikuwa fresh kuanzia kushambulia hadi kwenye kujilinda.

Chalobah kama rb kacheza vizuri, japo kuna mapepe flan bado anayo.

Silva sina neno kwake, nusu ya wachezaj wetu wangekuwa wanacheza kamq yeye tusingekuwa hapa tulipo.

Badiashile yuko poa hana papara akiwa na mpira hata katika ukabaji wake, natumai ataendelea hivi hivi

Havertz kama angekuwa makini leo angetoka na Hat trick,

Wiki ijayo tuko dhid ya majogoo ya jiji(liverpool) tunahitaj kushinda ili tuendelee kupata kujiamini
Salamu zimfikie TAA....

Anaweza kung'olewa ulimi
 
Mumekutana na vileja nyie
 
Mwanzoni mwa msimu Mudryk hakuwa maarufu na dhamani yake ilikuwa sio zaidi ya paundi mil 1
Alipoendelea kucheza na hasa kwenye UEFA league, Mudryk amejipatia umaarufu mkubwa hasa kwenye
  1. Uwezo wake wa kukimbia
  2. Kupiga chenga,
  3. kufunga na
  4. kuwapa assists wenzake
Sasa kanunuliwa paundi mil 88.5 tena kwa mbwembwe nyingi hadi wengine walioshindwa kushikwa na presure
Dah wewe jamaa unatuzodoa
 
Sasa mmeshinda. Je sasa tunaweza kuendelea kufuatilia targets zetu kwa amani au na hizo mtakuja kuziparamia?
Tarajia kutoona tetesi ovyo ,Chelsea wamekuwa wahuni Sana kwenye usajili

Walimfanyia Hivi hivi city kwa Cucurela , kwa Barca ndio walishindwa

Ila dili nyingi Toddy hafanyi negotiation ,anakuja anauliza Bei anaweka mezani,.
 
Endeleeni kutufanyia scouts bure. Mkikaribia kununua tunahijack tu
Sasa hivi tarajia ukimya ,halafu klabu zitawaundia zengwe tu ,wewe subiri uone , hawawezi kubali kila target zao mnaingilia

City kwa Cucurela mlimfanyia uhuni

Liverpool alijifanya anamtajataja Enzo , Hadi Sasa pale Hana chake

Gakpo ilikuwa Gafla ,nadhani angekuwa Chelsea muda huu
 
Huyu thuram mbona nilimuona WC anarukaruka tu, hakuna mchezaji hapa.
Wewe labda huangalii mpira, kamfatilie kuanzia Bundesliga ana goli 10+ ,

Anajua ku dribble na kukaa na mpira na anajua kufunga

Katika mpira ogopa Sana mchezaji anayeweza kukaa na mpira ,

Naomba huyu jamaa msimpate na asije EPL , huyo Ni balaa jingine
 
Huyu thuram mbona nilimuona WC anarukaruka tu, hakuna mchezaji hapa.
Baada ya Nkunku yeye ndie anafuatia kwa ufungaji Bundesliga
Mechi 15 magoli 10 na 3 assist
Katika mechi 15 ya ligi kajihusisha na magoli 13
DFB Pokal mechi 2 goli 3 na assist 1
Katika mechi 2 za DFB Pokal kajihusisha na magoli 4
Jumla ya mashindano yote Mechi 17, goli 13, assists 4
Katika mechi 17 ya mashindano yote kajihusisha na magoli 17
Kwenye kushoot anazo shots 55 zinazomfanya kuwa wa kwanza Bundesliga na goal attepmts wa pili. Ana urefu wa 1.92M na hivyo kumfanya kuwa mzuri sana kwenye kuwania mipira ya juu
Huyo sio mchezaji wa kumbeza hata kidogo
WC asingeweza kucheza mechi nyingi mbele ya Mbape, Griezman na Olivier Giroud. Huyo wa mwisho kocha anampenda ile mbaya. Magoli mawili ya fainali ya penalti ila goli la Mbape la pili, Thuram ndie alitoa assists
Kama umefuatlia mechi za France Thuram alipocheza alikuwa ni Threat
Advantage aliyo nayo Thuram zaidi ya maforward tulio nao ni pace na nguvu na hizo nguvu zinamfanya akae na mpira zaidi. Yeye anacheza no. 10, CAM na No. 9 (striker)
Nafikiri scouting team kuna kitu wameona. Adavantege kub wa yake pia anauzwa wakati mkataba wake unaisha kwa hiyo b ei yake sio kubwa. Huyo angesaini mkataba halafu ndio sisi tukaingia pale tungepigwa sio chini ya mil 60
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom