juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Haha mumchukue na ZiyechMvivu yule , Pullisic
lile dau walilokuja kumuonesha mwishoni Chelsea ndo limemtamnisha, miaka 7 mzee 200k kutoka kwenye 125k sio poaa
Aliyeweza kushinda alikua Raphinha tu kaenda barca kwa mapenzi thou chelsea walimuekeaa vitamu .
Naona anapokea 125K/week baada ya tax.
Ngoja tuanze upya sasa.
Usema kweli Chelsea tulikuwa tumekosa winger , tangu aondoke Hazard tumetaabika sana