Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Marcus Thuram kwa Paundi mil 10 ni sawa na bure au kwa sababu July ataondoka bure

licensed-image
 
Yes, Tunahitaj viungo wawili
Viungo wawili dirisha hili halitawezekana Kwa urahisi
Ni Midifilder mmoja tu dirisha hili mwingine atakuja majira ya kiangazi.

Wanaoushiswaa Hadi sasa:

-Moisès Caicedo
-Koudio Manu Kone (Vivell behind the scenes na hii inauwezekano mkubwa summer)
-Enzo Fernández (bado uwezekano upo wakitrigger realease clause €120mil)
-Zubimendi( release clause €60mil)
-Kephrén Thuram
-Enzo Lee Feé

Still wapo busy Katika market kusaka Midifilder mmoja Mwezi huu
 
WANANGU WA CHELSEA[emoji170] HERI YA MWAKA MPYA!

Poleni sana Kwani tumepitia kwenye Tanuru la Moto wenye Mateso kwa Muda mrefu. Toka mwezi wa kumi mwaka Jana Niliamua kabisa kusitisha Kuingia huku Jukwani na Kuchagua mechi za kuangalia za timu yetu.

Niliogopa kupata makasiriko na kujipa Presha. Nimejifunza kupokea matokeo kama yatakavyokuja kwani ni muda mrefu hatukuwahi kuzoea haya Mambo.

Timu inajengwa upya, Hatukutegemea tungepata Tajiri anayewaumiza Vichwa Matajiri wa Ulaya kwenye Sekta Ya Mpira kabisa, ila tajiri wetu katuheshimisha kwenye hilo hata kama Timu haipati matokeo mazuri kwa sasa ila naona kuna mwanga mbele.

Leo Tunacheza Game ya kwanza kuingia mzunguko wa Pili. Mategemeo yangu Tutaweza kuonyesha Mwanga na Matumaini kwanzia leo.

Kocha wetu sina neno lolote la Kumuhukumu wala Kumsifia. Nina imani Timu aliyokuwa nayo ndo ilikuwa nzuri ila sidhani kama uwezo wake ndo ulisaidia. Akaja kweny Timu ya Wachezaji wa tofauti ambao walionyesha wazi Aina ya Kocha wao alivyo, Wachezaji wasiojituma, Wachezaji wasio na Mbinu. Brighton bila hata ya Kocha watacheza vzr tu. Tunataka na sisi tuwe na Wachezaji wa aina hiyo.

Goodluck katika Kipindi cha Pili cha Msimu Wana Blues[emoji170][emoji170]
 
Next season ndio tuanze sasa kutoa hukumu, na kama tukatatua tatizo la kiungo basi msim ujao tutakuwa tuko sawa.
Vile vile kurudi kwa Levi Colwil itatupa advantage sana tutakuwa na option nzuri hofu itakuwa ni RCB, Chalobah sio wa kumtegeme

Katikat tukipata hata 2/3 mid tutakuwa sawa

Mbele mpk sasa ni kutafuta RW

Tuanze kuuza sasa
RW huyo dogo Madueke ni mzuri sana. Mimi mchezaji mwenye uwezo wa kudrible namuamini sana kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi kwa wenzake

Datro dribling 100%
Mudryk dribling and speed 100%
Madueke dribling 100%
Nkunku na Felix na wako kwenye 90%
Mbele tumeua kabisa na wote umri mdogo
 
WANANGU WA CHELSEA[emoji170] HERI YA MWAKA MPYA!

Poleni sana Kwani tumepitia kwenye Tanuru la Moto wenye Mateso kwa Muda mrefu. Toka mwezi wa kumi mwaka Jana Niliamua kabisa kusitisha Kuingia huku Jukwani na Kuchagua mechi za kuangalia za timu yetu.

Niliogopa kupata makasiriko na kujipa Presha. Nimejifunza kupokea matokeo kama yatakavyokuja kwani ni muda mrefu hatukuwahi kuzoea haya Mambo.

Timu inajengwa upya, Hatukutegemea tungepata Tajiri anayewaumiza Vichwa Matajiri wa Ulaya kwenye Sekta Ya Mpira kabisa, ila tajiri wetu katuheshimisha kwenye hilo hata kama Timu haipati matokeo mazuri kwa sasa ila naona kuna mwanga mbele.

Leo Tunacheza Game ya kwanza kuingia mzunguko wa Pili. Mategemeo yangu Tutaweza kuonyesha Mwanga na Matumaini kwanzia leo.

Kocha wetu sina neno lolote la Kumuhukumu wala Kumsifia. Nina imani Timu aliyokuwa nayo ndo ilikuwa nzuri ila sidhani kama uwezo wake ndo ulisaidia. Akaja kweny Timu ya Wachezaji wa tofauti ambao walionyesha wazi Aina ya Kocha wao alivyo, Wachezaji wasiojituma, Wachezaji wasio na Mbinu. Brighton bila hata ya Kocha watacheza vzr tu. Tunataka na sisi tuwe na Wachezaji wa aina hiyo.

Goodluck katika Kipindi cha Pili cha Msimu Wana Blues[emoji170][emoji170]
Umemaliza kila kitu, ni kweli BHA wanaweza kucheza vile wachezavyo hata bila kocha wala hazikuwa mbinu za GP.
Uwezo wa GP ni huu tunaouona leo, hana mbinu wala uwezo wa kuivusha The Blues. Wakati ujenzi wa kikosi ukiendelea kuna umuhimu wa kutafuta kocha atakayetafsiri maono na ndoto za mashabiki na muwekezaji.
 
Tuweke akiba ya maneno kwa sababu GP tunamjua kupitia TV na media tu, hakuna hata mmoja aliyehudhuria Cobham
 
RW huyo dogo Madueke ni mzuri sana. Mimi mchezaji mwenye uwezo wa kudrible namuamini sana kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi kwa wenzake

Datro dribling 100%
Mudryk dribling and speed 100%
Madueke dribling 100%
Nkunku na Felix na wako kwenye 90%
Mbele tumeua kabisa na wote umri mdogo
Nadhani tupo kwenye njia sahihi....wamiliki wako sirious sana na usajili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom