EPL si sawa na bundles Liga, kumbuka hizi statistics hata Timo Werner aliletwa nazo Chelsea na uliona kilichompata.
Sent from my CPH2387 using
JamiiForums mobile app
Flop ni individual case haihusiani na ligi alikotoak mchezaji, wako wanoatoka huko wakaja kufanya vizuri na wako waliotoka EPL wakiwa wazuri wakaenda kuflop kwenye hizo ligi unazozizarau.
Usichambue uwezo wa mchezaji kwa kubase facts finyu kama hizo
Zipo ushahidi mwingi kwamba wachezaji wengi wanaopfanya vizuri EPL walitoka kwenye hizo ligi unazidharau
Erling Haaland ufungaji wake wa Bundesliga haukuwa wa juu kama anavyofunga EPL
Salah alitoka Serie A alipokuja hapa akazidi kufunbga zaidi
Didier drogba alitoka kwenye ligi ndogo akaja EPL kawa mfungaji hodari
Mchezaji kuflop haihusiani sana na ligi, it is a more individual case
Mudryk kafikisha hadi thamani ya mil 100 kutokea kwenye ligi hafifu kuliko hata Bundesliga na waliomnunua wanaamini huku atakiwasha zaidi
Hatuwezi acha kumdhamini na kumpa heshima yake mchezaji kwa kubase stats zake eti kwa sababu hatoki EPL
Thuram ni mchezaji mwenye qualities nyingi kwa aina ya strikers ambao Chelsea imekuwa ikiwachukua
Akiflop ni bahati mbaya kama wachezaji wengine
Hazard amekuwa mfungaji mzuri EPL ligi bora alienda Laliga akawa flop wa karne. Hatuwezi kusema EPL ni ligi ndogo kuliko Laliga eti kwa sababu Hazard alishindwa kufunga magoli kama alivyokuwa anafany huku