Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msimu wa 2023/24 Line Up 3-4-3

Mykhailo -------------- Thuram --------------Nkunku


Chilwell --------Enzo ----------Kante --------- James


----Madiashile ---------- Gvardiol --------- Fofana----


------------------- Kepa ------------------------

Reserve

  1. Gabriel Slonina
  2. Mendy
  3. Silva
  4. Koilibaly
  5. Lewis Hall
  6. Levi Colwill
  7. Cucurella
  8. Moises
  9. Kovacic
  10. Carney
  11. Madueke
  12. Sterling
  13. Mount
  14. Havertz
  15. Fofana
Hii timu ikiwa hivi, wanaotusodoa sasa watatuhusudu daima
 
544A8B22-F378-4227-8844-616E9499BB3B.jpeg
 
Kama kawaida yenu mnajifariji Sana hata musajili Nani kipigo kipo pale pale
 
Viungo wawili dirisha hili halitawezekana Kwa urahisi
Ni Midifilder mmoja tu dirisha hili mwingine atakuja majira ya kiangazi.

Wanaoushiswaa Hadi sasa:

-Moisès Caicedo
-Koudio Manu Kone (Vivell behind the scenes na hii inauwezekano mkubwa summer)
-Enzo Fernández (bado uwezekano upo wakitrigger realease clause €120mil)
-Zubimendi( release clause €60mil)
-Kephrén Thuram
-Enzo Lee Feé

Still wapo busy Katika market kusaka Midifilder mmoja Mwezi huu
Enzo Lee Fee na Zakhryan endapo tukiwapata hao Mount itabidi ajiangalie sana
 
RW huyo dogo Madueke ni mzuri sana. Mimi mchezaji mwenye uwezo wa kudrible namuamini sana kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi kwa wenzake

Datro dribling 100%
Mudryk dribling and speed 100%
Madueke dribling 100%
Nkunku na Felix na wako kwenye 90%
Mbele tumeua kabisa na wote umri mdogo
Shida ya madueke ni injury prone, km akiwa sawa mda wote tutakuwa tumepata mtu wa maana
 
Umemaliza kila kitu, ni kweli BHA wanaweza kucheza vile wachezavyo hata bila kocha wala hazikuwa mbinu za GP.
Uwezo wa GP ni huu tunaouona leo, hana mbinu wala uwezo wa kuivusha The Blues. Wakati ujenzi wa kikosi ukiendelea kuna umuhimu wa kutafuta kocha atakayetafsiri maono na ndoto za mashabiki na muwekezaji.
BHA wanacheza hivi leo hii kwa sabab potter aliweka msingi mzuri. De zerbi amekuta team ambayo ishakamilika kiuchezaj ye kaongezea kitu kidogo
 
Hawa jamaa saivi mkwara wao ni wakifungwa tu wanavamia dili la usajili wa timu pinzani. Ila wafungwe tu ikiwezekana. Hayo mavamizi yao tukutane nayo tu huko mbele kwa mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom