Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii inamaana Pulisic anaondoka this January same to ziyech kama suitable suitor akipatikana
Huko nyuma nilikuambia mkuu case ya Mykhailo ni tofauti na Raphina ninyi mkasema ni Raphina v2.0
Huyo dogo Arsenal sio timu yake ya ndoto0ni kama ilivyokuwa kwa Raphina
Huyo dogo kaisifia tu Arsenal ili ku- accelerate usajili. Nilisema ikitokea timu yeyote kubwa Mykhailo angeikubali alimradi anakuja kucheza na timu kubwa kubwa kwenye ligi kubwa. Hiyo ndio focus ya Mykhailo

Hata wangeenda liver, city, man u angekibali tu.
Welcome Mudy to Stanford Bridge
 
Yeah ulilisema hili.
 
Tuanze kushinda sasa hata kwa kikosi hichi tulichonacho tupunguze kelele.

Next Season Potter asipodeliver sidhan kama watamuonea aibu.
 
VIVA BOEHLY
NGUVU YA PESA
HUKU NJE CHELSEA INAPIGA 5G BILA MAJIBU

1673723161426.png
 
Hii inamaana Pulisic anaondoka this January same to ziyech kama suitable suitor akipatikana
Na Ziyech na wengine kwa sababu Chelsea bado wako kwenye advance talk juu ya Marcus Thuram, Noni Madueke. So hata Havertz anaweza uzwa
  1. Pulisic
  2. Ziyech
  3. Broja
  4. Havertz sioni wakibaki
Mfano Havertz anaklula mshahara mkubwa halafu haoneyshi kuboresha uwezo wake
 
Kwa usajili unavyoenda hata tukishika nafasi ya 17 msimu huu. I won't care
Next season ndio tuanze sasa kutoa hukumu, na kama tukatatua tatizo la kiungo basi msim ujao tutakuwa tuko sawa.
Vile vile kurudi kwa Levi Colwil itatupa advantage sana tutakuwa na option nzuri hofu itakuwa ni RCB, Chalobah sio wa kumtegeme

Katikat tukipata hata 2/3 mid tutakuwa sawa

Mbele mpk sasa ni kutafuta RW

Tuanze kuuza sasa
 
Msimu wa 2023/24 Line Up 3-4-3

Mykhailo -------------- Thuram --------------Nkunku

Chilwell --------Enzo ----------Kante --------- James

----Madiashile ---------- Gvardiol --------- Fofana----

------------------- Kepa ------------------------

Reserve

  1. Gabriel Slonina
  2. Mendy
  3. Silva
  4. Koilibaly
  5. Lewis Hall
  6. Levi Colwill
  7. Cucurella
  8. Moises
  9. Kovacic
  10. Carney
  11. Madueke
  12. Sterling
  13. Mount
  14. Havertz
  15. Fofana
 
  2. Silva
  3. Koilibaly
  4. Cucurella
  5. Moises
  6. Carney
  7. Sterling
  8. Mount
  9. Fofana
Kuna Nkunku hapo mkuu

Tukifix tu Mid na back up ya james basi tutakuwa tayar kuchallange ubingwa

Sidhal kama tunaweza toa 100 kwa Gvardiol coz Levi Colwil anarudi + usajil.wa Badiashile wote hawa ni LCB
 
Nimemuweka hujaona
 
Kuna uwezekano pia tukamnunua Joao Felix akiperform vizuri kwa sababu kule Antletico De Madrid haelewani na kocha
 
Kama tutamchukua Joa Felix

Msimu wa 2023/24 Line Up 4-2-3-1

---------------------Thuram ----------------------

Mykhailo --------------Felix--------------Nkunku

--------Enzo ----------------------Kante ---------

Chilwell----Madiashile ------- Fofana------- James

------------------- Kepa ------------------------

Reserve
  1. Gabriel Slonina
  2. Mendy
  3. Silva
  4. Koilibaly
  5. Lewis Hall
  6. Levi Colwill
  7. Cucurella
  8. Moises
  9. Kovacic
  10. Carney
  11. Madueke
  12. Sterling
  13. Mount
  14. Havertz
  15. Fofana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom