Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mudryk Tayari ni mchezaji wetu rasmi na ametangazwa Halftime, amewasalimia mashabiki
Mkataba wa miaka 8.5 na atakuwa akilipwa mshahara wa paundi 100,000 kwa wiki hii ikiwa ni mara mbili ya alichoahidiwa na Arteta wa Arsenal.

Alichosema baada ya kusaini mkataba

‘I’m so happy to sign for Chelsea,’ Mudryk said after completing his move.

‘This is a huge club, in a fantastic league and it is a very attractive project for me at this stage of my career. I’m excited to meet my new team-mates and I’m looking forward to working and learning under Graham Potter and his staff.’

Mudryk-announced.jpg


Matajiri nao wana hili la kusema kuhusui Mudryk

Todd Boehly, Chelsea chairman, and Behdad Eghbali, co-controlling owner, said: 'We are delighted to welcome Mykhailo to Chelsea. He’s a hugely exciting talent who we believe will be a terrific addition to our squad both now and in the years to come. He will add further depth to our attack and we know he’ll get a very warm welcome to London.'

Welcome to Stanford Bridge Mykhailo Mudryk
 
Mwanzoni mwa msimu Mudryk hakuwa maarufu na dhamani yake ilikuwa sio zaidi ya paundi mil 1
Alipoendelea kucheza na hasa kwenye UEFA league, Mudryk amejipatia umaarufu mkubwa hasa kwenye
  1. Uwezo wake wa kukimbia
  2. Kupiga chenga,
  3. kufunga na
  4. kuwapa assists wenzake
Sasa kanunuliwa paundi mil 88.5 tena kwa mbwembwe nyingi hadi wengine walioshindwa kushikwa na presure
 
Mwanzoni mwa msimu Mudryk hakuwa maarufu na dhamani yake ilikuwa sio zaidi ya paundi mil 1
Alipoendelea kucheza na hasa kwenye UEFA league, Mudryk amejipatia umaarufu mkubwa hasa kwenye
  1. Uwezo wake wa kukimbia
  2. Kupiga chenga,
  3. kufunga na
  4. kuwapa assists wenzake
Sasa kanunuliwa paundi mil 88.5 tena kwa mbwembwe nyingi hadi wengine walioshindwa kushikwa na presure
Weka link hapa tutizame mechi ya Chelsea na Crystal Palace, wacha maneno mingi mingi
 
Mwanzoni mwa msimu Mudryk hakuwa maarufu na dhamani yake ilikuwa sio zaidi ya paundi mil 1
Alipoendelea kucheza na hasa kwenye UEFA league, Mudryk amejipatia umaarufu mkubwa hasa kwenye
  1. Uwezo wake wa kukimbia
  2. Kupiga chenga,
  3. kufunga na
  4. kuwapa assists wenzake
Sasa kanunuliwa paundi mil 88.5 tena kwa mbwembwe nyingi hadi wengine walioshindwa kushikwa na presure
Usimalize sana maneno, tusubiri aanze kuupiga kwanza, mpira una mambo matatu: kipaji, juhudi na uwezo wa kuhandle pressure. Kijana ana jukumu la kuyashinda hayo yote kidhihirisha thamani yake hiyo.
 
Leo Galagher kaonyesha jinsi Chelsea wanavyotakiwa kucheza. Kila saa yuko anakimbia kukaba na kutafuta nafasi
  1. Chelsea ikiwa na mpira anafanya runs za kutafuta nafasi ya kupasiwa
  2. Chelsea ikiwa haina mpira yuko kwenye run ya kukaba
Wachezaji wote wangecheza hivi tungekuwa mbali huko kwenye top 4
 
Chalobah leo baada ya kupelekwa pembeni kajitahidi lakini bado ana shida kwenye maamuzi, kuna mpira wa kurusha yeye akarushia katikati ya uwanjani na kidogo counter ituadhiri
 
Shida ya madueke ni injury prone, km akiwa sawa mda wote tutakuwa tumepata mtu wa maana
Sasa hivi uchunguzi mkubwa unaendelea kwenye idara ya matibabu na kampuni ya ushauri iliyoajiriwa na Chelsea kuwahudumia wachezaji. Matokeo ya huu uchunguzi utasababisha ofcourse overhaulling kubwa itakayosababisha Chelsea kuunda upya hiyo idara na inaweza kuja kuwa idara bora kabisa pale EPL itakayoweza kupunguza majeruhi hadi za hao akina Madueke, Kanet, Fofana, Chilwell na James
 
Sasa mmeshinda. Je sasa tunaweza kuendelea kufuatilia targets zetu kwa amani au na hizo mtakuja kuziparamia?
Hatutakuja boss huu mwaka wenu na hua hatuna ugomvi mkubwa na nyie...sisi mwakani tutaonyesha na kuamua.
Mashabiki wa Arsenal ni wastaarabu sana wana uwezo mkubwa wa kuvumilia maumivu sio kama sisi zamani... au manure wa zamani au liver kuku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom