Enzo anakuja Kiangazi, tumewaacha kwanza ile kiwewe cha WC cup itulie. Wanamuona kijanawao ni wa dhamani sana kwa sababu ya WC. July watakuwa wamepoa watamtoa hata kwa mil80. Sisi tumewapa mil 85 wakakataaWaniletee Enzo sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pongezi nyingi sana kwenu hakika mmeupiga mwingi sana kwa hio suprize mliyowafanyia Arsenyani.
Hii Sera nzuri sana na italeta mabadiliko sema kwa kuchelewaSera ya Roma ilikuwa timu ikivurunda anawatetea wachezaji na kocha kufukuzwa
Akina Boehly wao wamekuja na sera tofauti kabisa
Timu ikivurunda kocha anatetewa na wachezaji wasiocheza vizuri kuuzwa
Je hii sera itaboresha uchezaji na kuwafanya makocha waheshimiwe na wachezaji"
Ziyech pale hamna mchezaji , bishoo mayai mayai SanaKwa hali hii naona kabisa summer kuna watu wengi wanaondoka, auba,pulisic,ziyech, kai ni 50/50
Kuna wachezaji wengi sokon, Chelsea wametufanyia uhuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pongezi nyingi sana kwenu hakika mmeupiga mwingi sana kwa hio suprize mliyowafanyia Arsenyani.
Jana ikawaje..ninyi mushamuombaga musamaa Mane😀😀😀😀Mkamuombe msamaha Tuchelewe
Kwani Nkunku tumeisha mchukua teyari?!Kuna Nkunku hapo mkuu
Tukifix tu Mid na back up ya james basi tutakuwa tayar kuchallange ubingwa
Sidhal kama tunaweza toa 100 kwa Gvardiol coz Levi Colwil anarudi + usajil.wa Badiashile wote hawa ni LCB
Ila juan david Mudryk anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji same to Mount so hapo itapunguza kiburi Cha MountYeah ulilisema hili.
Ni Mudryk mkuu yah ataleta kitu kikubwa Sana kwanza anajua kudribble, mzuri kwenye pass za mwisho, ana kasi pia yupo aggressive sanaHuyu Mudric ataleta kitu kipya kweli hapa darajani?!