Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea considers squad clear-out in move to end era of player power at Stamford Bridge.

Chelsea owners understood to be prepared to move on under-performing players – and are ready to stand by the under pressure Graham Potter.

- @Matt_Law_DT
Hili litafanya kazi endapo tukiwa na kocha sahihi lakini si kwa huyu Potter
 
Marcus Thuram abadili mawazo na sasa anataka kuhamia Chelsea mwezi huu

GettyImages-1246151428-scaled.jpg
 
  • Marcus Thuram (25)
  • Noni Madueke (20)
Chelsea’s next top attacking targets…

FmXwbHzWAA8hDHk
 
Wamiliki wa Chelsea wameamua kuifanyia uchunguzi idara ya afya na kampuni binafsi iliyoteuliwa kusimamia baadhi ya masuala ya afya Chelsea baada ya orodha ya majeruhi kufikia 11. Kampuni hiyo binafsi ya afya iliajiriwa baada ya kiongozi mkuu wa afya Paco Biosca na Therapist mkuu Thoery Laurent kufukuzwa kazi na Todd Boehly. Baada ya matukio hayo kufanywa ndipo tabia ngeni ya wachezaji kuumia hovyo ikaanza

The Telegraph reports that the Blues are undergoing a review into the medical department because owner Todd Boehly and the consortium he represents believe injuries are the biggest factor holding back Potter currently. The takeover last May was followed by lots of upheaval, which impacted the medical department as well as every other facet of the club.
Medical chief Paco Biosca and head physio Thierry Laurent were both dismissed, with the new American owners deciding to outsource some of the medical work to a private physiotherapy company. That compromise led to the strange situation which saw Fofana flown to America for medical checks after completing his £75million move from Leicester City
 
Redcard ya Felix itaigharimu Chelsea karibia £3m kumlipa wakati hatoi huduma kama ifuatavyo:
Mshahara- 250,000 x 4 =£1,000,000
Fee £9,000,000/5=. £1,800,000
Karibu tatu.
Ujinga mtupu, ni Chelsea tu inaweza kufanya ujinga wa aina hii
We upo nanjilinji unaonyesha upo concerned n kuumia kuliko wenye timu[emoji1787]
 
Kinachonisikitisha hakuna kauli yoyote kutoka kwa wamiliki Juu ya hali team inapitia. Hivyo wao wamekubaliana na hii hali.
Wee umepitwa na news
Wameshatoa kauli na wamedai GP anakumbwa na tatizo kwa sababu ya majeruhi
Na kwa sababu hiyo wamedai wako pamoja na Kocha, wala suala la kutimuliwa haikuwa mada kwenye maongezi yao

Wamekubaliana kuifanyia uchunguzi idara ya Afya ya Timu pamoja na kampuni binafsi ya afya ya timu iliyopewa kandarasi ya kutoa huduma kwa baadhi ya maeneo.

Bado tunasubiri matokeo ya uchunguzi huo
 
Arsenal walikuwa na Auba kirusi, katolewa timu ikapona
Man united walikuwa na Ronaldo kirusi, akatolewa timu ikapona
Sisi Chelsea tunaye kirusi, ila tunamfuga na inatugharimu
 
Huyu Madueke tukimpata uzuri wake ana mashuti, clinical na anadrible. Good scout work
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom