OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Oyaaa HajafukuZwa tu?
Kwakweli saiv nateseka sana bora tumpe timu ata OleGunna😞😞😞Captain Marvelous njoo tuungane kumfariji ndugu yetu chalii OllaChuga Oc
Kwakweli saiv nateseka sana bora tumpe timu ata OleGunna😞😞😞
Changamoto yake ni Injury prone, akiweza kuwa fit mda wote anawez kuwa kama Rafael LeaoHuyu Madueke tukimpata uzuri wake ana mashuti, clinical na anadrible. Good scout work
Kumbuka man utd wamemuajiri pia Ben Maccarthy kwa ajilk ya striker wao.Rashford alitukanwa sana akaitwa flop kumbe ni makocha walikuwa wanamshusha kiwango
Kaja Ten Hag sasa mechi 9 mfululizo akifunga tu mabao
Hata huku Chelsea mifumo ya makocha inaua vipaji vya wachezaji,
Perfect timing km wakimpata Kwa hyo bei..maake km psv wangemuuza Kwa kina RB Leipzig au Dortmund au timu nyingine ya epl ...Unashangaa thamani yake inapanda km ya English boys wengine kina Bellingham pauni mil 150Huyu Madueke tukimpata uzuri wake ana mashuti, clinical na anadrible. Good scout work
Sema hivi hamjawahi kumaliza ligi nafasi ya 10. Sio kushika nafasi ya 10.Arsenal toka naijua hatujawahi kushika nafasi za 10 ,
Hatujui nini tunataka wakat huu wa usajili.Hivi mnajielewa kweli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2481181