Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huwezi kumtenga kocha na yanayotokea Chelsea. Kuficha udhaifu kwa kocha kwa sasa tumpe muda tu
Arteta ni mfano mzuri ya kwamba kocha hawezi kutengwa timu inapofanya vibaya

Arteta badala ya kufundisha kikasuku aliwang'amua wachawi wote wanaosababisha uchezaji uwe wa kijinga. Alkiwabangua wote wasio faa na Arsenal ikatulia baada ya hao kutolewa

Kocha anayekumbatia wachezaji wabovu na yeye ni mbovu
Kuna wacheza wanaoizamisha Chelsea na wanajulikana
Wa kwanza ni Jorginho
Wa pili Azpilicueta anfaa kuwa backup tu, hawezi tena presure ya EPL, Pale anatakiwa hata awajaribu vijana wa academy ili wazoee. Ni bora academy akafanya makosa lakini atakuwa na kuzoea. Azpi sasa hivi hatutegemei atakuwa na kuja kucheza vizuri. Safari yake imeisha kabisa
Kova mzuri lakini natakiwa acheze na kiungo mbunifu, sio mpikaji, sio mtengenezaji, sio muundaji. Creator, proactive
Mount ni kiazi , Hana Kiu ya kufunga
 
BREAKING: Chelsea broad will have a meeting with Graham Potter today and they might sack him following the bad results,

Jamani tuombe wana Chelsea tunao pata furaha timu yetu ekishinda huyu jama apewe onyo la mwisho au afukunzwe, ili timu yetu etufurahishe tena. Huyu potter ndo tstizo hana mbinu Chelsea nikumbwa kwakeView attachment 2466634
Huyu jamaa si ndo starring wa movie ya lone survivor 😳
 
Bado tu hawa Shakhtar Donetsk wanatunga.Naona wako serious na Todd

1672943181470.png
 
Chelsea leo tupo pamoja

City anaacha point
Acheni kuzigeuza hizi Kenge kama Toilet paper, Nnya ikiwabana ndio mnaziona zina thamani ila mkishamaliza kuchamba mnaziflash kwenye chemba ya maji taka.
Cheusii wenyewe wanajijua kabisa kua wanapigwa mtungo, Haaland kashwaambia kabisa usiku wa leo wajipange vizuri maana breki ni mbupu, sasa nyinyi endeleeni kuwadanganya kua Haaland leo ataingiza kichwa tu.
 
Our XI vs City
Kepa
Azp Koulibaly T.Silva Cucurella
Zakaria Kovacic
Ziyech Sterling Pulisic
Havertz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom