juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Ndani ya dakika 20. Tumeshafanya mabadiliko mara 2
Sterlin n Pulisic out due to injury,
Auba n chukwumweka in
Sterlin n Pulisic out due to injury,
Auba n chukwumweka in
Labda njaaCheltako hii game mkikaza mnashinda





Hawa leo ni wetu hawana pakutokea wao wajitahidi tu kupunguza idadi ya magori kwa habari ya kuchukua 3points , hawana uwezo huo aise.Chelsea hawana mipango. Wanarukaruka tu kama watoto wa ngiri.