Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

jino kwa jino na Arsenal kwa Mykhailo
Anakuja Arsenal ,wanachofanya Shakhtar Ni biding war
, Kwa mujibu wa Telegraph hii ishu Kama ya Raphina tu ,nategemea kesho ,Chelsea kuweka bid ya €100m

Halafu Chelsea mmekuwa na fujo Sana aise

Jamaa wanasema hawawez kutuuzia Bei ndogo Wakati Kuna wachezaji wabovu Kama Anthony na Grealish wameuzwa €100m
 
Tusubiri tuone
 
Sias za mpira, Arsenal sio timu ya kupendwa wewe usipumbazwe na siasa za wachezaji Mykhailo anasema hivyo kwa sababu Arsenal ndio ilikuwa kwenye pambano peke yake. Wewe fuatilia Arsenal wakishindwa kumchukua, Chelsea wakiingia atageuza kibao na kluanza kumsifia kocha na timu na project. Wewe hujawahi kuomba ajira
Mimi wakati naomba ajira napeleleza kampuni yenye kuniita kwenye interview halafu naandaa maneno ya kuisifia kampuni ili inipe ajira. So the same kwa hawa wachezaji. Arsenal alikuwa ni prospect employer na ni busara tu katumnia kuisifia ili impatia ajira
Same issue Kama ya Raphina

Mimi huyu mchezaji Sina wasiwasi kabisa ,anakuja Arsenal ,

Hili mnaenda kuaibika Kama kwa Raphina

Yupo Mitandaoni ana like tu Post za Arsenal
IMG-20230105-WA0093.jpg
 
Sias za mpira, Arsenal sio timu ya kupendwa wewe usipumbazwe na siasa za wachezaji Mykhailo anasema hivyo kwa sababu Arsenal ndio ilikuwa kwenye pambano peke yake. Wewe fuatilia Arsenal wakishindwa kumchukua, Chelsea wakiingia atageuza kibao na kluanza kumsifia kocha na timu na project. Wewe hujawahi kuomba ajira
Mimi wakati naomba ajira napeleleza kampuni yenye kuniita kwenye interview halafu naandaa maneno ya kuisifia kampuni ili inipe ajira. So the same kwa hawa wachezaji. Arsenal alikuwa ni prospect employer na ni busara tu katumnia kuisifia ili impatia ajira
ngoja tuone
 
Shakhtar wahuni Sana, wanatafuta biding war

Leo wanasema Napoli aliunge na yeye

Shakhtar director Carlo Nicolini:

“Napoli have asked about Mudryk. His price? Look at Antony’s fee. The problem with Italian clubs is that they don’t take the chance when they should. Look at Enzo, Milan could have signed him and now he’s worth 100m”
wanaset mazingira ili kukuza price ya mchezaji
 
Anakuja Arsenal ,wanachofanya Shakhtar Ni biding war
, Kwa mujibu wa Telegraph hii ishu Kama ya Raphina tu ,nategemea kesho ,Chelsea kuweka bid ya €100m

Halafu Chelsea mmekuwa na fujo Sana aise

Jamaa wanasema hawawez kutuuzia Bei ndogo Wakati Kuna wachezaji wabovu Kama Anthony na Grealish wameuzwa €100m
Sidhan kama tunaweza toa 100M, kama kwa Enzo tumeshindwa kulipa RC yake, unahis kweli tutaoa hiyo?? Benfica wanataka €120M ila Vivel ambaye ni Technical director kapeleka 80

Saiv Shakhtar nikama wanajaribu kuwaforce mtoe hela wanayoitaka.
Hapo tukienda ni 50+ 20 add ons or 60 fixed +20add ons
 
Wachezaji walioko majeruhi na tarehe ya kurudi kwa leo 5/1/2023

Jumla ya majeruhi = 5
  1. Reece James, majeruhi ya goti - anarudi tarehe 03/02/2023 - Ruled out
  2. Wesley Fofana, majeruhi ya goti - anarudi tarehe 08/01/2023 - Ruled out
  3. N'Golo Kante, majeruhi ya paja -anarudi tarehe 04/03/2023 - Ruled out
  4. Armando Broja - majeruhi ya goti - hakuna muda maalumu wa kurudi - Ruled out
  5. Edourd Mendy - Majeruhi ya bega - anarudi tarehe 15/1/2023 - Ruled out
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom