Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tumefungwa ila atleast leo tumecheza, juhudi zilikuwepo.
1st half tumecheza vizuri shida ni kwenye kushoot hatushoot,
2nd half dakika 20 za mwanzo tuliwaruhusu city, kepa nae mpira wa kudaka ule anauangalia,

Performance ya hiv tuwe tunaiona hata hizi game ndogo.

Zakaria ameongeza kitu kwenye kiungo chetu

Je tutaweza cheza hivi kila game???
 
Tukiwa na kikosi Chetu kamili.
 
Ila city wamechoka kweli. Kwa game walioonyesha jana ni ngumu kuwashika Arsenal
Denis Zakaria ameshapata kibali cha mashabiki. Yuko solid, ana composure, anadrible, anazidi kuwa na umiliki mzuri wa mpira zaidi ya Jorginho. Kocha akiendelea kumwamini na kumpanga atakuja kuwa kiungo wa kutegemewa. Hana kiburi kama cha jorginho.
Hata wale akina Carney, Omari na Hall wapewe muda zaidi. Wanabadili taratibu ladha ya uchezaji wa Chelsea
Kocha awahi.ize wanapokuwa final third waonane badala ya kubutua. Kuna mpira jana Hall aliniudhi tena sana kabisa
 
Ila city wamechoka kweli. Kwa game walioonyesha jana ni ngumu kuwashika Arsenal
Denis Zakaria ameshapata kibali cha mashabiki. Yuko soli, ana composure, anadrible, anazidi kuwa na umiliki mzuri wa mpira zaidi ya Jorginho. Kocha akiendelea kumwamini na kumpanga atakuja kuwa kiungo wa kutegemewa. Hana kiburi kama cha jorginho.

Watu hawaoni hili wanaishia kuangalia matokeo Livescore, ila gem za city msimu huu anashinda mara nyingi ila huuoni mpira wake tuliouzoea
 
Ila city wamechoka kweli. Kwa game walioonyesha jana ni ngumu kuwashika Arsenal
Denis Zakaria ameshapata kibali cha mashabiki. Yuko soli, ana composure, anadrible, anazidi kuwa na umiliki mzuri wa mpira zaidi ya Jorginho. Kocha akiendelea kumwamini na kumpanga atakuja kuwa kiungo wa kutegemewa. Hana kiburi kama cha jorginho.
Hata wale akina Carney, Omari na Hall wapewe muda zaidi. Wanabadili taratibu ladha ya uchezaji wa Chelsea
Kocha awahi.ize wanapokuwa final third waonane badala ya kubutua. Kuna mpira jana Hall aliniudhi tena sana kabisa
Jana Chelsea mlikamia game Sana maana kupigwa mara nne mfululizo sio mchezo ,kuanzia kocha ,wachezaji ,wote walikuwa wamekamia na kujitoa sanaa ....

Kama kweli tumeisha inabidi muoneshe Hilo weekend hii Etihad [emoji848],tofauti na hapo ni kujitekenya na kucheka ..

Game ilikuwa lazima iwe ngumu tu ...

Nyie kuwa strong ndio kulifanya ionekana city hatupo kwenye kiwango ,....

Next week Etihad....

Here we go .....
 
Tumeanza na hii hapa kwa dau la Mykhailo
£60 million bid which includes £20 million in add-ons
arsenal-chelsea-shakhtar-celtic-mudryk.jpg
 
Chelsea imetumia zaidi ya pound milion 300, lakini inaonekana kuwa bado wapo mbali sana na makombe.... Je tatizo lipo wapi? tujadiliane..

Binafsi naona kocha viatu havimtoshi...

Hali ya Chelsea inayopitia ni ngumu sana, tatizo la msingi ni ugeni wa kocha wachezaji na majeruhi
Wachezaji wengi hawana Chemistry nzuri, wengine majeruhi. Kocha naye mgeni
 
Kocha mzuri huwa hasuburi muda mrefu sana kusuka kikosi, bado nina wasiwasi na uwezo wa huyu kocha. Ana game 3 zijazo akipigwa zote aisee anasepeshwa hakutakuwa na mamna uwekeze kiasi hicho afu usicheze champions league.
 
Chelsea imetumia zaidi ya pound milion 300, lakini inaonekana kuwa bado wapo mbali sana na makombe.... Je tatizo lipo wapi? tujadiliane..

Binafsi naona kocha viatu havimtoshi...

Wako desperate... wanataka kila mchezaji hivyo wanapigwa... wachezaji wa kawaida wanauziwa kwa bei ya juu.. ishu ni wana wachezaji wa kawaida wengi.
 
Chelsea imetumia zaidi ya pound milion 300, lakini inaonekana kuwa bado wapo mbali sana na makombe.... Je tatizo lipo wapi? tujadiliane..

Binafsi naona kocha viatu havimtoshi...

Ukweli Potter uwezo wake mdogo hana tofauti na akina Moyes ameifanya chelsea kuwa timu ya kawaida mno kiasi kwamba mpaka mashabiki wamejikatia tamaa
 
Kocha mzuri huwa hasuburi muda mrefu sana kusuka kikosi, bado nina wasiwasi na uwezo wa huyu kocha. Ana game 3 zijazo akipigwa zote aisee anasepeshwa hakutakuwa na mamna uwekeze kiasi hicho afu usicheze champions league.
Mimi sintajali sana akitimuliwa ila nitajali sana nani atampokea
Kama ni Conte sawa, zaidi ya Conte sioni kocha bora zaidi yake

wako hawa
  1. Mauricio Pochettino
  2. Zinedine Zidane,
  3. Thomas Tuchel
  4. Marcelo Bielsa
  5. Ole Gunnar Solskjaer
  6. Rafael Benitez
  7. Joachim Low
  8. Luis Enrique
  9. Roberto Martínez
  10. Julen Lopetegui
 
Uzoefu wake na makombe haya hapa ....

He won three promotions and the Svenska Cupen with Östersund, leading them to the 2017–18 UEFA Europa League knockout stage. He was appointed manager of Championship club Swansea City in June 2018, and moved on to Brighton & Hove Albion of the Premier League a year later. In 2022, he became head coach of Chelsea.
 
Chelsea imetumia zaidi ya pound milion 300, lakini inaonekana kuwa bado wapo mbali sana na makombe.... Je tatizo lipo wapi? tujadiliane..

Binafsi naona kocha viatu havimtoshi...

Hadi now bado yupo kweli ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom