Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimemcheki Mykhailo ambao Arteta anamtaka yuko vizuri sana
  1. Anakaa na mpira sana
  2. Ana stamina
  3. Aanajua cha kufanyia mpira
  4. ni mfungaji mzuri
  5. ni mtoaji mzuri wa assists
  6. ana mbio
  7. pace kubwa
We fikiria Chelsea tukam hijack aje darajani halafu line up ikawa hivi kule mbele

------------------Datro Fofana------------------------

Mudryk -----------------Nkunku ---------------- Sterling

AU

------------------Datro Fofana------------------------

Mudryk -----------------Mason Mount ---------------- Nkunku
Raphinha saga version 2.0
 
Leicester city walimnunua Kante kwa Euro mil 8 2015 akwapa EPL title
Chelsea wakamnunua Abdulrahman Baba kwa Euro mil 26 wakaishia nafasi ya 10 kwenye ligi
Poor scouting team poor signings
Chelsea tuna poor scouting, marina na wenzake kwa kiasi flan wameturudisha nyuma tho tulishinda cups ila kuna mda wamezingua
 
Atakuja, Todd akishapenda chongo humwambii kitu. Baada ya kubishana watakubaliana tu. Hizo pesa ni nyingi Benefica hawawezi kukataa. Chelsea wakubali kuboresha ulipaji wa installment
 
Mashabiki wanamshabulia Fabricio Romano kule twitter ile mbaya
Aliripoti Chelsea wanalipa pesa ndefu zaidi ya Euro 120M kumbe sio zaidi ya Euro 85M?? Kwa mara ya kwanza naona Romano anadanganya. Kulingana na FFP rules sidhani kama Chelsea watamnunua huyu mchezaji au labda wauze rights za matangazo ya TV kama Barcelona au Arsenal
1672880780212.png



1672881418063.png
 
Thomas Tuchel's katika mechi 10 Premier League za mwanzo kama Chelsea head coach:

6 wins
4 draws
0 defeats
11 goals scored
2 goals conceded

Graham Potter's mpira 10mechi za Premier League kama Chelsea head coach:

4 wins
3 draws
3 defeats
11 goals scored
10 goals conceded

@CFC_ChelseaFC
Screenshot_20230105-095639_Facebook.jpg
 
Chelsea’s project is just spend spend spend and try to win something
 
Baada ya ile ya 3 installements kukataliwa Chelsea wametoa ofa nyingine ya mara moja
Enzo Fernandez latest offer
£87m plus three players.
Ziyech - permanent deal
Datro Fofana and Andrey Santos on Loan
 
Thomas Tuchel's katika mechi 10 Premier League za mwanzo kama Chelsea head coach:

6 wins
4 draws
0 defeats
11 goals scored
2 goals conceded

Graham Potter's mpira 10mechi za Premier League kama Chelsea head coach:

4 wins
3 draws
3 defeats
11 goals scored
10 goals conceded

@CFC_ChelseaFCView attachment 2469517
Yeah, TT aliwakuta Rudiger, James na Kante wakiwa fit
GP kaja Rudiger hayupo, Kante na James majeruhi ya kuunga unga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom