juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Mkuu sahiv tuko debt free, pato lingia kupitia sponsor,broadcasting right etc, vile vile kuna wachezaj watauzwa tu mbeleni ambao hawako katika mipango ya team depend na watakaoingiaHapo umezungumzia hela tunatoa lakini vipi kuhusu pato tunaloingiza je lipo sawa au pungufu na hela tunatumia kusajili wachezaji?