Mkuu hayo ni mawazo yako, according to report issue nzima ya usajili wa sasa inasimamiwa n mkurugenzi wa ufundi,Shida ninayoiona boss wenu ana viashiria hamsikilizi Sana mwalimu, kifupi mwalimu Hana final decision .
Ila huyu Toddy ,anamwaga Sana pesa aisee,
Kwa Enzo Fernandes hapo mmepata mtu , yule Jude mngepigwa mapema Sana
Enzo nimemuona mechi ngumu ,anachafua vzr tu
Moja ya mashabiki wa Chelsea ,unajibu hoja vzr bila mihemkoMkuu hayo ni mawazo yako, according to report issue nzima ya usajili wa sasa inasimamiwa n mkurugenzi wa ufundi,
Usajili wa sasa Boehly ni mto hela na kunegotiate tu ila issue nzima ya scouting imefanywa recruitment team yetu mpya ndio wanaopendekeza mchezaj based na kocha anahitaj nini
Recruitment team
Christopher Vivel- Technical Director
Lawrance Stewar- Technical director to focus on football globally.
Joe Shield-Co-Director of Recruitment and Talent
Paul Winstanley-Director of Global Talent and Transfers.
Kyle Macaulay- huyu alikuja na potter
Wameanza Kwa kasiMkuu hayo ni mawazo yako, according to report issue nzima ya usajili wa sasa inasimamiwa n mkurugenzi wa ufundi,
Usajili wa sasa Boehly ni mto hela na kunegotiate tu ila issue nzima ya scouting imefanywa recruitment team yetu mpya ndio wanaopendekeza mchezaj based na kocha anahitaj nini
Recruitment team
Christopher Vivel- Technical Director
Lawrance Stewar- Technical director to focus on football globally.
Joe Shield-Co-Director of Recruitment and Talent
Paul Winstanley-Director of Global Talent and Transfers.
Kyle Macaulay- huyu alikuja na potter
Hivi hatuwezi kweli tukakutana na rungu la financial fair play?Chelsea mpunga upo wa kutoshaView attachment 2463671
Ndio maana wanapatania jinsi ya malipo kwa Enzo ili isikiuke FFP rules.Hivi hatuwezi kweli tukakutana na rungu la financial fair play?
Hapana, tuko safe kwenye FFP, sababu sajil nyingi hela hazilipwi kwa wakat mmoja, fofana,nkunku hawa wote hela hailipwi kwa pamoja,hela inalipwa kwa awamu na ndio maana kwa enzo tunataka tuwape benfica zaidi ya releace clause ila upande wa malipo inakuwa different structure, hela inalipwa katika awam ambazo club zote mbili zitakavyokubaliana na si kwa mara mojaHivi hatuwezi kweli tukakutana na rungu la financial fair play?
Hivi hatuwezi kweli tukakutana na rungu la financial fair play?
Nimesoma sehemu kuwa Todd kaifikia mwisho wa matumizi kulingana na rules za FFP, ndio maana sasa wanataka swap deal kwa Badiashile ili wasave pesa kwa ajili ya Enzo. Baad ya hao wawili sidhani tena kama tutasajili hadi KiangaziBinafsi napenda hii kitu itukute, kama ikitokea ina maana tutapigwa Ban katika usajili labda madirisha mawili kama ile Ban iliyo tukuta hapo mwanzo. Kwasasa tusajili wachezaji kwa fujo alafu tupigwe hilo rungu.
Kwann, hilo jambo litasaidia kuwapa muda wachezaji tutakao wasajili pamoja na madogo kutoka akademi. Hapa tutapata kina Mount na James kutoka kwenye akademi yetu wenyewe. Kule akademi kuna wachezaji wazuri ambao wanapaswa kupewa muda kwenye timu kubwa, wachezaji kama Jude Soonsup Bell, Malik Mothersille, Cesare Casadei, Omari Hutchinson, Lewis Hall, Ben Elliot, Bashir Humphreys, Brodi Hughes na wengineo hawa madogo inapaswa wapate muda kwenye timu kubwa.
Hapo umezungumzia hela tunatoa lakini vipi kuhusu pato tunaloingiza je lipo sawa au pungufu na hela tunatumia kusajili wachezaji?Hapana, tuko safe kwenye FFP, sababu sajil nyingi hela hazilipwi kwa wakat mmoja, fofana,nkunku hawa wote hela hailipwi kwa pamoja,hela inalipwa kwa awamu na ndio maana kwa enzo tunataka tuwape benfica zaidi ya releace clause ila upande wa malipo inakuwa different structure, hela inalipwa katika awam ambazo club zote mbili zitakavyokubaliana na si kwa mara moja
Nimesoma sehemu kuwa Todd kaifikia mwisho wa matumizi kulingana na rules za FFP, ndio maana sasa wanataka swap deal kwa Badiashile ili wasave pesa kwa ajili ya Enzo. Baad ya hao wawili sidhani tena kama tutasajili hadi Kiangazi
Huyo tayari anapimwa sasa medical testAndrey Santos?