Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
Chezaji lenu
Kuna Eddie nketiah aliwatoboa hapo darajani ,umemsahauBahati nzuri mpaka sahv hamna mchezaji kutoka chelsea aliyepata injury kubwa...Ila mchezaji wako Gabriel Jesus ndo kapata injury ya goti hvyo hatoendelea katika mashindano haya ya WC.. ndo utaamini uchawi na husda zako ni vitu vibaya Sana![]()
nketiah ndo mchezaji wa kutishia watu?Kuna Eddie nketiah aliwatoboa hapo darajani ,umemsahau

.....kufunga n kawaida Tu lkn in the long run nyie wenyewe mnajua Mmepata pigo
Si ndio nyie mlikuwa mnadai Jesus hafungi sijui mechi ya 8,nketiah ndo mchezaji wa kutishia watu?.....kufunga n kawaida Tu lkn in the long run nyie wenyewe mnajua Mmepata pigo


Watakuja kumuua HuyuMende na Kalabai lake ndio sababu ya Senegalkusosomekwa goli 3 na mabeberu.
Nyie Mburkenge michezaji yenu ndio chanzo cha matatizo yote ya bara la Afrika kenge maji nyie.
Naona nusu ya wachezaji wa Chelsea tiyari Wana injury km ulivyotabiriSi ndio nyie mlikuwa mnadai Jesus hafungi sijui mechi ya 8,
System ya Arsenal haipo kumtegemea CF afunge , Tulishatoka huko,tulikuwa Auba asipofunga tunapotea.,
Jesus akifanyiwa surgery anarudi February means anakosa Mechi 5 , asipofanyiwa surgery anakosa Mechi 2 .
Kwahiyo tutetereke sababu ya mchezaji mmoja Kati ya 11?
Kuwa na heshima na Hawa 10 Basi


husda na uchawi vitu vibaya Sana...sahv mnajitetea system haitegemei CF kufunga 


Hata Kante yumo, injuries wote wamo, bado wako kwenye rehabilitation programReece James leo ameanza mazoezi,pamoja na wachezaj wengine huko Abu dhabi.
Source:Chelsea fc
Angalia habar zq leo mkuu, za kwenye mazoeziHata Kante yumo, injuries wote wamo, bado wako kwenye rehabilitation program
![]()
James and Fofana injury update
The following statement on Reece James and Wesley Fofana has just been released...www.chelseafc.com
Kule Abudhabi wote wameenda kwa ajili ya mazoezi hata Kante akiwemo, James na Fofana hawakutajwa bado watarudi lini? japo inaonekana wanaweza kurudi ligi itakaporudi. tarehe 27/12Angalia habar zq leo mkuu, za kwenye mazoezi
Sijakataa kwenda AbuDhabi bali bado wako kwenye rehabilitation na wamesindikizwa na madaktari wao maalumu wa kuwapa mazoezi
Mkuu umesoma habar ya leo???Sijakataa kwenda AbuDhabi bali bado wako kwenye rehabilitation na wamesindikizwa na madaktari wao maalumu wa kuwapa mazoezi
Ila leo james ameanza mazoezi na wenzake kwa pamoja na si ya pekee yake.Sijakataa kwenda AbuDhabi bali bado wako kwenye rehabilitation na wamesindikizwa na madaktari wao maalumu wa kuwapa mazoezi
Taarifa hizo hizo za leo zinadai no confirmation kama hiyo physical drill na wenzake ndio karudi mazoezi au is part of rehabilitation. No formal confirmation bado, it is 50/50Ila leo james ameanza mazoezi na wenzake kwa pamoja na si ya pekee yake.
Fofana,Kante hawa wote bado wapo kwenye rehabilitation ndio maana hata kwenye picture za leo za mazoezini hawamo. Na hawawezi jiunga kwenye mazoezi ya pamoja na wenzao till watakapopona.
James tayari yupo fit ndomaana alikuwepo kwenye mazoezi ya pamojaSijakataa kwenda AbuDhabi bali bado wako kwenye rehabilitation na wamesindikizwa na madaktari wao maalumu wa kuwapa mazoezi