Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wale WA pauni nyingi waliinunuliwa na Chelsea sina hakika km tumenufaika nao Sana zaidi ya kuishia kuflop au wanashindwa kudeliver km tulivyoexpect..Bora sajili za design hii hapa Chelsea nawapa big up
Naona mara nyingi sana sajili za pesa kidogo ndio huwa zinatulipa sana, hizi za pesa nyingi mara nyingi tumeishia kupigwa za uso
 
Unaweza ukakuta wachezaji kama hawa ndio wanakuja kulipa kuliko wale wa Mil 100. Ana miaka 19 tu na kashafunga magoli 21 na assists 7 msimu huu na bado haujaisha. Atakuja fuata nyayo za Didier Drogba

View attachment 2447747
View attachment 2447749
Hapa ndio kazi ya scout inapoonekana sasa sio kukaa kila siku tunakimbizana na majina makubwa.

Huwa naamini kuna wachezaji wazur unaweza wapata kwa bei ndogo tu, kule south america,portugal etc kuna wachezaj wazuri sana ni vile tu tumekalia na majina makubwa
 
FkCVolAXwBkdfn7


 
Chelivibwengo mnatamani wedi kapu ingeenda mpaka mwezi wa NNE huko hehehehe......ndoige zimerudii
 
Ndugu wazee, wakati tukirejea kwenye msimu wa mpira baada ya World Cup naomba mnisaidie link ya kutazama mpira online. Ile link ya Domain Seized by Law Enforcement tuliyokuwa tunatazamia mpira imefungiwa rasmi na magaidi. Natanguliza shukrani.
1671425670133.png
 
Nyie kenge hivi mnajua kua jumatatu ijayo Epl inaendelea?
Msijifanye mmesahau mateso yako palepale na hakuna wa kuwafariji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom