42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,914
Kuwa na heshima unapokuja kwenye jukwaa la mabingwa wa dunia kunguni wewe.EPL imerejea , na vichapo vinarejea humu
Arsenyeto miaka 100 kuna makombe mtayasikia tu.
Kuwa na heshima unapokuja kwenye jukwaa la mabingwa wa dunia kunguni wewe.EPL imerejea , na vichapo vinarejea humu
Fofana ameumia tena kwenye mechi ya kujipima nguvu Jana Vs BrentfordKatika hao hawa watakuwa wamesharudi ligi ikianza
Na watakuwa wamebaki wanne (4) ambao ni
- Kepa Arrizabalaga
- Ben Chilwell
- Ruben Loftus-Cheek
- Wesley Fofana
- Reece James
- N'Golo Kante - Misuli ya kwenye paja - Kurudi ni 18 Feb 2023
- Armando Broja Knee Injury Kurudi hadi msimu uishe
- Carney Chukwuemeka Misuli ya kwenye paja - Kurudi haijulikani bado
- Cesar Azpilicueta Misuli kuvuta - Kurudi haijulikani bado
James jana kacheza friendly match dhidi ya Brentford,Katika hao hawa watakuwa wamesharudi ligi ikianza
Na watakuwa wamebaki wanne (4) ambao ni
- Kepa Arrizabalaga
- Ben Chilwell
- Ruben Loftus-Cheek
- Wesley Fofana
- Reece James
- N'Golo Kante - Misuli ya kwenye paja - Kurudi ni 18 Feb 2023
- Armando Broja Knee Injury Kurudi hadi msimu uishe
- Carney Chukwuemeka Misuli ya kwenye paja - Kurudi haijulikani bado
- Cesar Azpilicueta Misuli kuvuta - Kurudi haijulikani bado
Nzi siku zote hua hachezi mbali na mzoga.We inzi badala ya kuamkia dampo unakuja kutuletea kinyaa huku
Kongoro Fc sasa hivi imeshakua ni hospitali ya wangojwa wa mifupa.Tunarudi EPL huku tukiwa na majeruhi 9
Chelsea na Leeds United ndio wanaoongoza kwa majeruhi EPL
Chelsea ikiongeza wabrazili kama watatu au wanne kwenye timu itacheza vizuri zaidi ya inavyocheza sasa. Wabrazili wanakuwaga serious sio kama haya mataifa mengineJina: Andrey Nascimento dos Santos
Utaifa: Brazil
Umri: Miaka 18
Nafasi: Kiungo
Bei: Paundi 20milioni tu
Klabu anayoichezea: Vasco Dagama
Mji; Rio De Janeiro
Ligi: Brazil
![]()