Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Achana na Caicedo, chukua mtu wa kazi Mac Allister ama Enzo Fernandez
Tumpe mitatu anayotaka, hiki ni kifaa kweli kweli halafu tumlete Moises Caicedo acheze naye katika formation ya 4-2-3-1 tutatisha

4-2-3-1
-----------------------Datro Fofana------------------------

Sterling ---------------- Nkunku ----------------------Mount

------------ Caicedo -------------------- Kante ------------

Cucurella----------Koulibally -----------Silva -------- James

------------------------- Kepa -----------------------------

AU
3-4-2-1

-----------------------Datro Fofana------------------------

-----------Sterling------------------------ Nkunku ---------

Chilwell--------- Caicedo --------- Kante ----------- James

-------Cucurella------------Silva ------------ Fofana--------

------------------------- Kepa -----------------------------

Mac Allister, Enzo Fernandez, Andrey Santos na Kouadio Kone hawa naona ndio viungo wa kazi. Huyo Andrey Santos ni suala la muda tu.
Ni heri uspend €100M kwa Enzo Fernandes kuliko kwa yule Rice.

Enzo ni machine nashangaa tumekaa tunekomalia Rice

Leta Enzo n Koudao Kone katikat tutakuwa tushasolve
 
Wesley Fofana ni mchezaji wa ajabu sana, Too much injury prone
Fkg7DqDXkAAGkfi
 
Haya mambo tulikuwa hatuyafanyi mda mrefu sana,

Kazi ilikuwa kupambana na majina makubwa au kukimbilia wachezaj wa hovyo wakina malang sarr, huku tukiacha vipaj vikienda kwa wapinzani.

Atleast now tunasajip player ambao bado wanakiu ya mafanikio and talented

Hopeful our recruitment team itaendelea kufanya na si kukaa kila siku tunapigania wachezaj wa bei ghal na mwisho wa siku wanaishia kuflop
Screenshot_20221222-175215_Twitter.jpg
 
Haya mambo tulikuwa hatuyafanyi mda mrefu sana,

Kazi ilikuwa kupambana na majina makubwa au kukimbilia wachezaj wa hovyo wakina malang sarr, huku tukiacha vipaj vikienda kwa wapinzani.

Atleast now tunasajip player ambao bado wanakiu ya mafanikio and talented

Hopeful our recruitment team itaendelea kufanya na si kukaa kila siku tunapigania wachezaj wa bei ghal na mwisho wa siku wanaishia kuflopView attachment 2454710
Mimi nitaendelea kusema wachezaji wengi kuflop kwa 70% - 80% ni systems zetu ndizo zinasababisha ikianzia kwa kocha na kufuatia management. Undwaji wa system yenye harmony ndio sasa naona, fukuza fukuza makocha na kila kocha anakuja na system yake wachezaji wataacha kuflop!. Kwenye timu zao za Taifa wanafanya vizuri wakija Chelsea flop flop flop

Kwanza tunatakiwa tuwe na kocha mwenye uwezo wa kudemand performance nzuri kwa wachezaji kama anavyofanya PEP na mwanafunzi wake Arteta. Pili kuwepo na system moja ya uchezaji kama ilivyo kwa Barcelona. akiajiriwa kocha anatakiwa afit in kwenye huo mfumo na falsafa yote
 
Achana na Caicedo, chukua mtu wa kazi Mac Allister ama Enzo Fernandez
Mac Allister sahiv Brighton hawawez muachia kwa bei chee na isotoshe ametoka kuongeza mkataba mwez wa 10 hapa, na Brighton ni wagumu kwenye negotiation
 
Mimi nitaendelea kusema wachezaji wengi kuflop kwa 70% - 80% ni systems zetu ndizo zinasababisha ikianzia kwa kocha na kufuatia management. Undwaji wa system yenye harmony ndio sasa naona, fukuza fukuza makocha na kila kocha anakuja na system yake wachezaji wataacha kuflop!. Kwenye timu zao za Taifa wanafanya vizuri wakija Chelsea flop flop flop

Kwanza tunatakiwa tuwe na kocha mwenye uwezo wa kudemand performance nzuri kwa wachezaji kama anavyofanya PEP na mwanafunzi wake Arteta. Pili kuwepo na system moja ya uchezaji kama ilivyo kwa Barcelona. akiajiriwa kocha anatakiwa afit in kwenye huo mfumo na falsafa yote
Nakubaliana na weee
Tunasajili bila kufata mifumo tunayotumia na kocha anahitaji nini, je yule mchezaj tunayemsajili ataendana na mfumo wa kocha au ndio tunasajil tu bila kufata mfumo wa kocha anaotumia.

Timua timua ya makocha ndio inafanya tusiwe na system maalum kwa sababu kocha hapewi mda.
 
Wote wawili itakuwa ngumu sana labda kwa mmoja. Mbaya zaidi Madrid inawataka wote wawili
Hawa miamba wanapiga kazi, bei yao bado ndogo wanatufaa kuziba moja kwa moja pengo la Ngolo na Jorgonho.
Wangechukua wote wawili timu ingetulia
 
Wote wawili itakuwa ngumu sana labda kwa mmoja. Mbaya zaidi Madrid inawataka wote wawili
Real Madrid haijawahi kumtaka Mac Allister (ilikuwa ni uvumi tu na hadi Patricio Romano alikana) labda Moises Caisedo mwanzoni mwa Nov 2022 baada ya hapo Madrid wamekuwa kimya. Issue kubwa hapa Brighton hawawezi kumtoa hivi hivi mpaka mtu anyongwe shingo. Watadai chini ya Paundi mil 80 na hatoki mtu january hadi July 2023
 
Kuna uwezekano Nkunku akawahi kuja Chelsea January hii, Majeraha yake hadi January 2023 iishe ndipo atakapokuwa fit kucheza

maxresdefault.jpg
 
Jina: Andrey Nascimento dos Santos
Utaifa: Brazil
Umri: Miaka 18
Nafasi: Kiungo
Bei: Paundi 20milioni tu
Klabu anayoichezea: Vasco Dagama
Mji; Rio De Janeiro
Ligi: Brazil
images
Kiungo ni neno pana Sana kuwa specific kiungo gani central midfielder, deep playmaker au Attack midfielder?
 
Nacheki mpira hapa Chelsea vs PSG
Lauren James ni right back kama kaka yake na anashusha majalo, kafunga goli zake mbili ya kwanza ya UEFA kwenye jezi ya Chelsea
Chelsea 3; PSG 0
1671746208616.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom