lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,387
- 25,493
Huko nyuma nilibisha kuwa Reece James bado hajarecover kabisa nikaambiwa mbishi
Lates news zinasema hivyo, James na Fofana wanajaribu kufanya training na timu lakin bado hawajarecover kabisa. Bado wako kwenye rehabilitation phase
Hii ni kutoka kwa Graham Potter hapo juzi tarehe 7 Dec akiongea na website ya ChelseaFC
‘Reece is not quite fully training but he’s integrating into training along with Wesley,’ he said. ‘Wesley is a little bit further behind but not too far.’
www.chelseafc.com
Wachezaj wote wa first team isipokuwa Kante watarudi tarehe 27 Dec
Reece James na Wesley wanajaribu kuintegrate kwenye mazoezi na timu lakini hawako fully recovered. Fofana yuko nyuma kidogo ya James ila by 27 Dec watakuwa wote fit
Lates news zinasema hivyo, James na Fofana wanajaribu kufanya training na timu lakin bado hawajarecover kabisa. Bado wako kwenye rehabilitation phase
Hii ni kutoka kwa Graham Potter hapo juzi tarehe 7 Dec akiongea na website ya ChelseaFC
‘Reece is not quite fully training but he’s integrating into training along with Wesley,’ he said. ‘Wesley is a little bit further behind but not too far.’
Potter exclusive: Update on how injured players are progressing
After settling in at our warm weather training camp in Abu Dhabi, we caught up with head coach Graham Potter to hear about how the group of injured players on the trip are progressing with their rehabilitation.