lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,491
Hapa tunapoteza muda tu, Levy hawez tuuzia hata kwa nini
Hapa tunapoteza muda tu, Levy hawez tuuzia hata kwa nini
Hauko seriousHuyo conor mi naona ni bora tumuuze tu sio level ya kucheza chelsea tuna kante tuna jorginho tuna kovacic tuongeze namba 8 ambayo iko vzr zaidi yenye quality ya juu zaidi kama alivokuwa fabregas
Hakuna mazungumzo zaidi ya wao kuondokaWerner, Ziyech, Azip, Alonso:-
Waitwe ofisini yafanyike mazungumzo kufuhamu mustakabali wao kilabuni. Then maamuzi yachukuliwe haraka tusonge mbele.
Ni gharama na hatari sana kukaa na mchezaji ambaye hajaridhika na ndio maana mchezaji akishaonyesha dalidali za kutokuwa happy klabuni ni afadhali apigwe mnada ila aletwe replacement mwenye furaha na mapenzi mema kwa timuHakuna mazungumzo zaidi ya wao kuondoka
Yaani tumtegemee huyu Mhindi kama striker?!! Seriously!! Sa si bora Lukaku asingeondoka.Inatia moyo.....View attachment 2306014
Kati ya Batshuayi au Broja tumuuze yupi?Yaani tumtegemee huyu Mhindi kama striker?!! Seriously!! Sa si bora Lukaku asingeondoka.
Wote wakuuza, yaani ni ujinga tuliuza Giroud tukabak na hao.Kati ya Batshuayi au Broja tumuuze yupi?
Tena sio kazi ndogo.
THE BLUES kazi tunayo msimu ujao.
Pre season ndio wakat wenu wa kufurahi.
Mbona Mhindi alimzidi MCongoman (Lukaku) kwa magoli msimu ulioisha?Yaani tumtegemee huyu Mhindi kama striker?!! Seriously!! Sa si bora Lukaku asingeondoka.
Mkuu arsenal wamoto sana safari hiiPre season ndio wakat wenu wa kufurahi.
😂😂 Dah nimecheka knoma😂😂😂😂😂
Labda moto wa mabuaMkuu arsenal wamoto sana safari hii
Ukiwa na jicho la mpira hautanipinga
Huyu ni bora kuliko Lukaku.Yaani tumtegemee huyu Mhindi kama striker?!! Seriously!! Sa si bora Lukaku asingeondoka.
Mbona unalidhalilisha jina lako?Rejected by Kounde
Rejected by Raphinha
Rejected by Lewy
Rejected by De Jong
Rejected by Militao
Rejected by Araujo
Rejected by De Ligt
Rejected by Dembele
Rejected by Gnabry
Rejected by Richarlison
Rejected by Ake
Rejected by Jesus
View attachment 2306036
Sawa wanaondoka tunaleta wakina Nani usajili wenyewe wakonokono Hili ujiuliziNi gharama na hatari sana kukaa na mchezaji ambaye hajaridhika na ndio maana mchezaji akishaonyesha dalidali za kutokuwa happy klabuni ni afadhali apigwe mnada ila aletwe replacement mwenye furaha na mapenzi mema kwa timu