Pep toka apigwe kwa Grealish amekuwa mbahili ku overpay mchezajiBora hata wangebaki Ermason na Alonso kuliko hako kachalii cucubroiler halafu kaoga balaa.
Pamoja na kocha kupewa mda ambao huenda usitusaidie ila jua hivi vitu muhimu,Kocha kupewa muda bila club kuwa na smart management ni wastage of time tuu.
Kwa sasa THE BLUES tuna management ya ovyo hata akija PEP ni haitosaidia
Toddy ameshindwa kuajiri watu smart kwenye departments mbalimbali za club.
Timu haina Mkurugenzi wa ufundi, Performance Advisor, head of scouting team.
Ukiwa na mkurugenzi wa ufundi kama Txiki na soriano ni ngumu kupigwa, Boehly aliingia kichwa kichwa kwenye usajil atleast now anaanda team ya wakurugenz wa ufundiPep toka apigwe kwa Grealish amekuwa mbahili ku overpay mchezaji
Aliwaambia Brighton Huyo Cucurella sizidi £40m , Tena hapo mmenipiga ,
Akajitoa akawaachia Chelsea , akaenda kumsajiri Sergio Gomez kutoka anderlech kwa €18m tu
Uwepo unafuatilia hata team news basi Mzee ... , kocha kwenye team news alisema sterling Na Cucurella walipata illness ambayo ilimfanya sterling asiwepo hata kwenye benchi ingawa Cucurella alikuwa ok kiasi kuweza kufeature ndo akaamua amuanzishe bench..so the only option iliyobaki n huyo dogo tusikurupuke aisee kulaumu tuMall ni mzuri akicheza katikati ya kiwanja provided bado ni kijana chipukizi pale anapata msaada kwa ma strikers na wingbacks na kocha yoyote mwenye mikakati mzuri huwezi kuweka kijana mpya katika sehemu ya mashambulizi makali Newcastleinajulikana kwa right and left attacks, mkuu mimi sijasomea ukocha ni shabiki tu wapira tena wa chelsea na penda sana kujadili mpira na watu wasio kua na mihemuko hisia kali na makasriko its just a fun to relax and enjoye, nina professional yangu nilio somea,
Timu hii ni mbovu,hakuna cha majeruhi wala nini ni mbovuUwepo unafuatilia hata team news basi Mzee ... , kocha kwenye team news alisema sterling Na Cucurella walipata illness ambayo ilimfanya sterling asiwepo hata kwenye benchi ingawa Cucurella alikuwa ok kiasi kuweza kufeature ndo akaamua amuanzishe bench..so the only option iliyobaki n huyo dogo tusikurupuke aisee kulaumu tu
Joao Paulinha ile ndio mido sasa kazi chafu zote inafanya, sisi huku tuko na wauza sura,Naangalia mechi ya Fulham.
Willan mzee yuko na kiwango bora kuliko Pulisic + Ziyech.
Kuna baadhi ya wachezaji ni wa hovyo sana. Kuna huyu chalobah ana uwezo mdogo sana.akipata mpira anachojua ni kumpasia kipa, mtamuangalia hata mechi zinazofuta.Hii timu inaniumiza sana na kunichafua nyongo , huwa sipati raha kabisa tukiloose games hasa kuloose kifala kama hivi mpira mbooovu .
Yaani back passes 10000000000 ,My goodness .
Ukweli mchunguNaangalia mechi ya Fulham.
Willan mzee yuko na kiwango bora kuliko Pulisic + Ziyech.
Kwamba Lukaku akatwe mguu ,aiseeeMadaktari walioshauri Lukaku akatwe mguu bado wapo klabuni, unategemea Kante, James, Chiliwell watapona kweli?
Yaani back passes ni ufala timu inatakiwa icheze mpira kwenda mbele si kurudisha nyumaKuna baadhi ya wachezaji ni wa hovyo sana. Kuna huyu chalobah ana uwezo mdogo sana.akipata mpira anachojua ni kumpasia kipa, mtamuangalia hata mechi zinazofuta.
Broja ana kasi nzuri, ila akili ya mpira hana. mchezaji anaangalia chini. Badala y kuangalia wa kumpasia.
Kocha ni mwehu, kwa kuendelea kuwapanga hawa vilaza.
Chelsea ingeshinda angepewa sifa kibao, sasa ameshindwa makosa kibao. hii timu ilishasambaratika wakati inapigwa mnada, sasa majeruhi ndio ikaongeza tatizo. hata angekuwepo TT, matatizo yangekuwa yale yale. wakati wa TT tulikuwa tunafungwa na timu dhaifu, leeds na southampton. GP kaja ikawa the opposite, tunafungwa na 7 kwenda juuMakocha WA whatsap sasa hampitwi na Jambohili swala la hall kuchezeshwa out of position hukuhoji Dhidi ya city jumatano kwenye carabao, Tuchel mwenyewe alishamchezesha kwenye hyo POS game moja ya FA ...au upewe timu nn Mzee
![]()
Ujenzi wa Chelsea ulianza summer iliyopita, January hata tumnunue mmoja bado ni kujenga timu. Bado tunao uwezo wa kumpata au kuwapata wachezaji wazuri January. Kuna kazi inaendelea undergroung muachage wenge. Wako watu wana mapenzi na timu kuliko sisi na wanaweza kupindua meza muda wowotePamoja na kocha kupewa mda ambao huenda usitusaidie ila jua hivi vitu muhimu,
Dirisha la January huwezi kulitumia kujenga timu isipo kua unaweza kuongezea wa chezaji wawili au watatu, baada ya kugundua udhaifu wa timu yako uko wapi.
Jambo ambalo mpaka tunaingia break limemshinda potter hatuna mfumo hatuna first 11 hatuna pressing but depressing huwezi kujenga timu nzima kwa diridha moja its impossible
Harry Graham Potter dirisha la Jan hana uwezo wa kushawishi mchezaji mzuri yoyote kujiunga na timu ya Chalsea labda kutoka Brighton, ili tuwe midtable timu vizuri ukiona mwenendo wake, kila mchezaji mzuri angependa ashirki Uefa champions league wakika wa Chelsea kushiriki mwakani bado unasua sua kwahiyo msiwe na matumaini makubwa January
Kila timu ina utamadini culture na philosophy yake, lazima potter ajifunze kutoka na makocha wa nyuma asijifanye kwamba yeye ndo anaanza kujenga timu dressing room itamshinda, tusije tukawa kama Man United ilio tumia zaid ya1bn kwa wachzaji lakini bado inacheza hovyo manaake mpira its not all about players. utapata players ila utashindwa kuwatumia na kukupa matokeo.
Mda ndo mualimu nzuri......
Kunusuru chelsea kwasasa ni kuondoa huyu clueless coach na kuleta mwenye confedence ushawishi na uzoefu, ili aanze na hao wachezaji waliopo kabla ya kuenda sokoni.
Ni mapema mno kusema Hall ni mzuri akicheza katikati. Kijana kwanza ndio anaanza career yake ya soka, na anacheza nafasi zote mbili za LB na MF. Tumpe muda tujue wapi anafit. Tusiwe wakosaji kuliko hata wale mapundit ambao wengi wao walikuwa wachezaji wazuri kuliko sisiMall ni mzuri akicheza katikati ya kiwanja provided bado ni kijana chipukizi pale anapata msaada kwa ma strikers na wingbacks na kocha yoyote mwenye mikakati mzuri huwezi kuweka kijana mpya katika sehemu ya mashambulizi makali Newcastleinajulikana kwa right and left attacks, mkuu mimi sijasomea ukocha ni shabiki tu wapira tena wa chelsea na penda sana kujadili mpira na watu wasio kua na mihemuko hisia kali na makasriko its just a fun to relax and enjoye, nina professional yangu nilio somea,