CHELSEA FC NA PROJECT UCHWARA
1. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo
2. Performance Advisor - Hayupo
3. Scouting team - Wapumbavu
4. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)
5. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)
6. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)
7. Silva - Mzee (tegemezi)
8. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira
9. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga
10. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma
11. Kante - Majeruhi Yasioisha
12. Kovacic - Majeruhi Yasioisha
13. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara
14. Pulisic - Mtumishi hewa
15. Ziyech - Tumeshindwana
16. Harvetz - Tunapotezeana muda
17. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness