hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,667
- 27,550
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado Huyu GP niko naye bega kwa bega maana tatizo ni wachezaji ila Kocha yuko vizuri sana tu.
Tuendelee kutulia wakati wa hatari, na hapa ndipo kipimo cha mashabiki maandazi wanapopatikana...[emoji28]