Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tunaenda siku 28 mapumziko ya world cup, sio wote wanaoenda world cup + wengine mwisho wa mwez huu wanarudi kutoka majeruhi.

Hii itampa fursa ya kuweka style yake, n tim inaenda abu dhab kwa ajili ya training wa kipindi hichi
Vip hao walio enda WC kuumia nao vip
 
Usipate shida. Kamera zinammulika kuliko tunavyodhani. Ila naamini mambo mawili
GP hatafukuzwa
Pia Chelsea itafanya vizuri sana baada ya January 23
GP ni kocha mzuri anakosa wachezaji wazalendo
Na Chelsea hakuna wachezaji wazalendo wamekwisha
 
Baada ya kipigo cha jana kutoka kwa Newcastle United ni rasmi sasa chelsea tumepata aibu mpya ya kufungwa mechi 3 mfululizo za mwisho za mashindano yote bila kupata goli hata moja kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 20 iliyopita mara ya mwisho kufungwa mechi 3 mfululizo za mashindano yote ilikua ni mwaka 2002.

Na aibu kubwa zaid ni kuwa licha ya kuwa dirisha la usajili lililopita tumetumia pesa nyingi kuliko timu zote za ulaya kuwasajili kina M.Cucurella,K.Koulibaly,R.Sterling,W.fofana na P-E.Aubameyang lakini ni rasmi sasa hatujashinda katika mechi 5 mfululizo za mwisho za Epl kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 10 iliyopita mara ya mwisho kutokushinda mechi 5 mfululizo za Epl ilikua mwaka 2012.

Na aibu zaid ni kuwa kwa sasa Chelsea tutaendelea kubaki katika nafas ya 8 kwenye Epl kwa siku 45 zijazo kwa ajili ya kupisha Worldcup huku tukiwa tumeizidi alama 8 tu timu iliyo kwenye mstari wa kushuka daraja.

.. To sum up kwa masikitiko zaid mwezi huu wa Nov 2022 Chelsea hatutakua na goli Bora la mwezi maana mwezi unaisha bila mchezaji yeyote wa Chelsea kufunga goli la ligi Epl, na hii ndo post yangu ya mwisho kwa mwaka huu kuizungumzia timu yangu pendwa ya chelsea, naomba radhi kwa Uchambuzi huu ulio chini ya kiwango.

Nasema uongo ndugu zangu? Basi mniombee.
FB_IMG_1668226310774.jpg
 
Tunaenda siku 28 mapumziko ya world cup, sio wote wanaoenda world cup + wengine mwisho wa mwez huu wanarudi kutoka majeruhi.

Hii itampa fursa ya kuweka style yake, n tim inaenda abu dhab kwa ajili ya training wa kipindi hichi
Ila sidhani kama itakuwa na impack kubwa Wachezaji muhimu hawatakuwepo hizo siku 28. Injuries wako 7 kati yao ni Kante na Kepa tu ndio wanajulikana watarudi lini. Wengine sita no return date

Watakaokuwepo ni
Goalkeepers:
Kepa Arrizabalaga, majeruhi anarudi 26/12
Marcus Bettinelli

Defenders:
Reece James, majeruhi - No return date
Wesley Fofana, majeruhi- No return date
Trevoh Chalobah,
Marc Cucurella,
Ben Chilwell majeruhi- No return date

Midfielders:
Jorginho,
N'Golo Kante, majeruhi anarudi 18/02/2023
Ruben Loftus-Cheek, majeruhi- No return date
Carney Chukwuemeka majeruhi- No return date

Forwards:
Pierre-Emerick Aubameyang,
Armando Broja

Wataungana na
Lewis Hall
Omari Hutchinson
 
Cheusii Fc sasa hivi sio timu tena bali ni kigenge cha madalali/wapiga dili kipindi cha usajili.
Sijaona bado kikosi cha £300m kwenye hii timu, inasemekana kipindi cha usajili kuna watu walikua wanatoka na mifuko ya sandarusi utadhania ni wale maharamia wa skendo ya IPTL.
Daah we jamaa umeamua kutusugulia kunguni au sio ,
 
Ila sidhani kama itakuwa na impack kubwa Wachezaji muhimu hawatakuwepo hizo siku 28. Injuries wako 7 kati yao ni Kante na Kepa tu ndio wanajulikana watarudi lini. Wengine sita no return date

Watakaokuwepo ni
Goalkeepers:
Kepa Arrizabalaga, majeruhi anarudi 26/12
Marcus Bettinelli

Defenders:
Reece James, majeruhi
Wesley Fofana, majeruhi
Trevoh Chalobah,
Marc Cucurella,
Ben Chilwell majeruhi

Midfielders:
Jorginho,
N'Golo Kante, majeruhi anarudi 18/02/2023
Ruben Loftus-Cheek, majeruhi
Carney Chukwuemeka majeruhi

Forwards:
Pierre-Emerick Aubameyang,
Armando Broja

Wataungana na
Lewis Hall
Omari Hutchinson
Reece James
Fofana

Hawa wote wanarudi mwisho wa mwezi, ndio maana james alikuwa anataka aende world cup huku anajua huenda akakosa baadh ya mechi chache za mwanzo

Injury ya mda mrefu ni Kante na Chilwel hao ndio injury zao zitachukua mda, ndio maana chilwel n kante kuwategemea kuwaona ni mwakan mwez wa 2 hivi
 
Naomba line up iwe hii

Formation 4-2-3-1

---------------------- Broja-----------------------

Mount ----------------- Cheek ------------- Galagher

-------Kovacic --------------------Jorginho--------

Lewis Hall -----Koulibally -----Chalobah ----- Azpilicueta

---------------------- Mendy-----------------------

AU

Formation 4-3-3

Mount------------- Broja-----------------Galagher

Kovacic -------------- Jorginho ------------- Cheek

Lewis Hall -----Koulibally -----Chalobah ----- Azpilicueta

---------------------- Mendy-----------------------
Bado mkala kichapo
 
Mechi niliyosikitika kufungwa ni ile ya Brighton tu japo timu zote nne walizotufunga ziko bora against timu mbovu tuliyonayo kwa sasa.
Hatuna hawa wachezaji uwanjani
James
Fofana
Kante
Chilwell
Kepa ile goli ya jana Kepa angetubeba

Hawa waliko wanatumika sana against their age

Silva
Azpi
Kou

Tunawategemea hawa mburura
Cheek
Pulisic

Kwa ufupi tuna timu iliyosambaratika
Kocha sio wa kumlaumu hata kidogo
Lawama ziende kwa Boehly. Anaendesha timu kibabe mno na hana mpangilio wowote. Angefanya ajira ya nafasi zilizowazi na kuwaajiri medical personel wazuri ili kupunguza injuries

Jana azpi na Cheek wametolewa kwa sababiu ya injuries. Why only Chelsea?
Tuanze kuchezesha academy maana timu nzima injuries , kuna siku niliongelea kuhusu gross incompetency kwenye hii timu ,ukianzia kwenye benchi ya ufundi , nidhamu ,recruitment mpaka medical , hizi injuries frequently na Kwa wakati mmoja ,hii ni hali ya kawaida ?
 
Mashabiki wezangu poleni na matokeo ya jana tumeshindwa ki fala sana, lakini tutakuja tuelewane pole pole, hi sio vita usinichukie na mie sichukii mtu yoyote just express your views ( we agree to disagree) ndo democracy hiyo.

Oneni makosa makubwa ya kocha wenu potter katika mechi ya jana, unacheza na timu unao jua kwamba ina press kutoka kushoto na unaamua huyu kijana Hall natural position yake ni kati kati middle field na hana uzoefu wa kutosha unakuja kumueka wingback, (out position) mda wote koulibaly alikua kwenye pressure ku cover nafasi mbili ya Hall na ya kwake goli lilitokea hapo hapo loh.

baada kufungwa goli ndo anai giza natural and experienced leftback cucurela,
hapo ndo nashindwa kuelewa potter alikua ana subilia tufungwe ndo azibe huo mwanya?

Chalsea ni kubwa kwake haiwezi, hatuja wahi kupoteza hivi kama timu ndogo. Tusipo ondoa huyu mediocre kocha mapema tutumalizia kwemye chapioniship mwaka kesho.
 
Ila sidhani kama itakuwa na impack kubwa Wachezaji muhimu hawatakuwepo hizo siku 28. Injuries wako 7 kati yao ni Kante na Kepa tu ndio wanajulikana watarudi lini. Wengine sita no return date

Watakaokuwepo ni
Goalkeepers:
Kepa Arrizabalaga, majeruhi anarudi 26/12
Marcus Bettinelli

Defenders:
Reece James, majeruhi - No return date
Wesley Fofana, majeruhi- No return date
Trevoh Chalobah,
Marc Cucurella,
Ben Chilwell majeruhi- No return date

Midfielders:
Jorginho,
N'Golo Kante, majeruhi anarudi 18/02/2023
Ruben Loftus-Cheek, majeruhi- No return date
Carney Chukwuemeka majeruhi- No return date

Forwards:
Pierre-Emerick Aubameyang,
Armando Broja

Wataungana na
Lewis Hall
Omari Hutchinson
Oya hivi huyu Marcus Bettineli mbona sijawahi ona kacheza aisee ?
 
Mashabiki wezangu poleni na matokeo ya jana tumeshindwa ki fala sana, lakini tutakuja tuelewane pole pole, hi sio vita usinichukie na mie sichukii mtu yoyote just express your views ( we agree to disagree) ndo democracy hiyo.

Oneni makosa makubwa ya kocha wenu potter katika mechi ya jana, unacheza na timu unao jua kwamba ina press kutoka kushoto na unaamua huyu kijana Hall natural position yake ni kati kati middle field na hana uzoefu wa kutosha unakuja kumueka wingback, (out position) mda wote koulibaly alikua kwenye pressure ku cover nafasi mbili ya Hall na ya kwake goli lilitokea hapo hapo loh.

baada kufungwa goli ndo anai giza natural and experienced leftback cucurela,
hapo ndo nashindwa kuelewa potter alikua ana subilia tufungwe ndo azibe huo mwanya?

Chalsea ni kubwa kwake haiwezi, hatuja wahi kupoteza hivi kama timu ndogo. Tusipo ondoa huyu mediocre kocha mapema tutumalizia kwemye chapioniship mwaka kesho.
sasa yule CUCURELA nae ni mchezaji??anachojua ni kufuga minywele tu hakuna beki pale ni UHARO
 
Guus Hiddink
Antonio Conte
Maurizio Sarri
Frank Lampard
Thomas Tuchel
Hamna kocha alisha wahi kupoteza mipira mitatu in a row katika makocha watano wa chelsea walio pita ila Graham potter ameweza kuvunja hiyo record kwa mipira 8 tu alio kua in charge.
Screenshot_20221113-132011_Facebook.jpg
 
Bora hata wangebaki Ermason na Alonso kuliko hako kachalii cucubroiler halafu kaoga balaa.
C mlisema Alonso ni kono kono mbona cucurela anakimbia kasi sio konokono, Alonso kule barca kasha funga goli mbili Chelsea mipira mitatu hawaja funga hata goli moja, tatizo ni nini?
 
Mashabiki wezangu poleni na matokeo ya jana tumeshindwa ki fala sana, lakini tutakuja tuelewane pole pole, hi sio vita usinichukie na mie sichukii mtu yoyote just express your views ( we agree to disagree) ndo democracy hiyo.

Oneni makosa makubwa ya kocha wenu potter katika mechi ya jana, unacheza na timu unao jua kwamba ina press kutoka kushoto na unaamua huyu kijana Hall natural position yake ni kati kati middle field na hana uzoefu wa kutosha unakuja kumueka wingback, (out position) mda wote koulibaly alikua kwenye pressure ku cover nafasi mbili ya Hall na ya kwake goli lilitokea hapo hapo loh.

baada kufungwa goli ndo anai giza natural and experienced leftback cucurela,
hapo ndo nashindwa kuelewa potter alikua ana subilia tufungwe ndo azibe huo mwanya?

Chalsea ni kubwa kwake haiwezi, hatuja wahi kupoteza hivi kama timu ndogo. Tusipo ondoa huyu mediocre kocha mapema tutumalizia kwemye chapioniship mwaka kesho.
Makocha WA whatsap sasa hampitwi na Jambo hili swala la hall kuchezeshwa out of position hukuhoji Dhidi ya city jumatano kwenye carabao, Tuchel mwenyewe alishamchezesha kwenye hyo POS game moja ya FA ...au upewe timu nn Mzee
 
Wakati nyie mnaendelea kumlaumu kocha na wachezaji, binafsi naendelea kulaumu management ya club.

Swali:- Nani alishauri au kupendekeza wasajiliwe Fofana, Koulibaly, Zakaria, Auba, Cucurela na Sterling?

Swali:- Nani alishauri Lukaku na timo Werner waondolewe na Ziyech, Azip na Pulisic wakaachwa kikosini?

Yalikuwa na mapendekezo/Ushauri wa Tuchel, Marina, Peter Cech, Toddy, Scouting team au madalali wa mjini?

Kwa sababu Chelsea mbovu tuliyo nayo kwa sasa, tatizo limeanzia hapa kwenye maamuzi ya ovyo yaliyofanywa na management sokoni
Kulalamikia wachezaji ambao walisajiliwa juzi tu kwa pesa mob ni umama
 
Makocha WA whatsap sasa hampitwi na Jambo hili swala la hall kuchezeshwa out of position hukuhoji Dhidi ya city jumatano kwenye carabao, Tuchel mwenyewe alishamchezesha kwenye hyo POS game moja ya FA ...au upewe timu nn Mzee
Mall ni mzuri akicheza katikati ya kiwanja provided bado ni kijana chipukizi pale anapata msaada kwa ma strikers na wingbacks na kocha yoyote mwenye mikakati mzuri huwezi kuweka kijana mpya katika sehemu ya mashambulizi makali Newcastleinajulikana kwa right and left attacks, mkuu mimi sijasomea ukocha ni shabiki tu wapira tena wa chelsea na penda sana kujadili mpira na watu wasio kua na mihemuko hisia kali na makasriko its just a fun to relax and enjoye, nina professional yangu nilio somea,
 
Tuanze kuchezesha academy maana timu nzima injuries , kuna siku niliongelea kuhusu gross incompetency kwenye hii timu ,ukianzia kwenye benchi ya ufundi , nidhamu ,recruitment mpaka medical , hizi injuries frequently na Kwa wakati mmoja ,hii ni hali ya kawaida ?
Medical utawalaumu tu, Nan asiyejua chillwel na James ni injury prone ,Nan asiyejua Fofana alikuwa injury karibu miezi 9 Kule leicester ,

Kante alivyotumika Sana ,kila mtu alitegemea injury mbaya zitamkuta ,amecheza Sana bila kupumzika, Ndio maana toka msimu uliopita amekuwa in out , nacheka Sana wanaompigia hesabu Kante kuja kuokoa jahazi,

Mmesahau toka msimu uliopita akirudi anacheza mech 2 , anaumia had juz hapa alirudi, akaja kuumia majeruhi haya marefu

Kante hata Chelsea wamegoma kumpa mkataba wa miaka miwili,Cha ajabu fans mnamsubiri Kama mwokozi,

Kova Ni injury prone , ndan ya wiki mbili amekuwa anaumia had mech nyingi anaanzia benchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom