Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

THE BLUES NA PROJECT UCHWARA

1. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)

2. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)

3. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)

4. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira

5. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga

6. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge.

7. Kante - Majeruhi Yasioisha

8. Kovacic - Majeruhi Yasioisha

9. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara

10. Pulisic - Mtumishi hewa

11. Ziyech - Tumeshindwana

12. Harvetz - Tunapotezeana muda

13. Zakaria - Tatizo la kutokuwa ma mechi fitness

14. Silva - Mzee
🙌😂😂😂
 
JamiiForums-1847041804.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
THE BLUES NA PROJECT UCHWARA

1. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)

2. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)

3. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)

4. Silva - Mzee (tegemezi)

5. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira

6. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga

7. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma

8. Kante - Majeruhi Yasioisha

9. Kovacic - Majeruhi Yasioisha

10. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara

11. Pulisic - Mtumishi hewa

12. Ziyech - Tumeshindwana

13. Harvetz - Tunapotezeana muda

14. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness

15. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo

16. Scouting team - Wapumbavu
Ni kweli lakini hii system anayocheza kocha hapana sote tunajuwa uwezo umepungua kwanini anashindwa kucheza 451 yuko na mfumo 3222 team haiungi wangecheza hata masaa 24 hakuna wakufunga halafu baya kila mechi same system. Chelsea dhambi za kumfukuza Tuchel wakamuombe tu tumekosa njoo jenga team kwa next season.
 
THE BLUES NA PROJECT UCHWARA

1. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo

2. Scouting team - Wapumbavu

3. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)

4. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)

5. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)

6. Silva - Mzee (tegemezi)

7. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira

8. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga

9. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma

10. Kante - Majeruhi Yasioisha

11. Kovacic - Majeruhi Yasioisha

12. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara

13. Pulisic - Mtumishi hewa

14. Ziyech - Tumeshindwana

15. Harvetz - Tunapotezeana muda

16. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness
Hawa washenzi niliacha angalia mechi zao sababu kuna siku wamenisababishia hasara kubwa
 
THE BLUES NA PROJECT UCHWARA

1. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo

2. Scouting team - Wapumbavu

3. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)

4. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)

5. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)

6. Silva - Mzee (tegemezi)

7. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira

8. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga

9. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma

10. Kante - Majeruhi Yasioisha

11. Kovacic - Majeruhi Yasioisha

12. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara

13. Pulisic - Mtumishi hewa

14. Ziyech - Tumeshindwana

15. Harvetz - Tunapotezeana muda

16. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness
Nyam nyam

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Bado Huyu GP niko naye bega kwa bega maana tatizo ni wachezaji ila Kocha yuko vizuri sana tu.

Tuendelee kutulia wakati wa hatari, na hapa ndipo kipimo cha mashabiki maandazi wanapopatikana...
Upo sahihi kabisa hata wakimuacha potter akaja kocha mgunda bado hatotatua kitu chochote kutokana na hawa wachezaji wetu sasahivi...kikosi hakipo balanced Sana ....kuna injuries, inconsistent players, na hatuna sporting director hopeful by January atapatikana tuanze kusuka kikosi vzuri ... Cha ajabu kuna watu wanamkumbuka TT Ila unakuta kipindi yupo walikuwa wanamponda na back 3 yake, kucheza Sana back passes au kuchezesha wachezaji out of positions
 
Bado Huyu GP niko naye bega kwa bega maana tatizo ni wachezaji ila Kocha yuko vizuri sana tu.

Tuendelee kutulia wakati wa hatari, na hapa ndipo kipimo cha mashabiki maandazi wanapopatikana...
Mechi niliyosikitika kufungwa ni ile ya Brighton tu japo timu zote nne walizotufunga ziko bora against timu mbovu tuliyonayo kwa sasa.
Hatuna hawa wachezaji uwanjani
James
Fofana
Kante
Chilwell
Kepa ile goli ya jana Kepa angetubeba

Hawa waliko wanatumika sana against their age

Silva
Azpi
Kou

Tunawategemea hawa mburura
Cheek
Pulisic

Kwa ufupi tuna timu iliyosambaratika
Kocha sio wa kumlaumu hata kidogo
Lawama ziende kwa Boehly. Anaendesha timu kibabe mno na hana mpangilio wowote. Angefanya ajira ya nafasi zilizowazi na kuwaajiri medical personel wazuri ili kupunguza injuries

Jana azpi na Cheek wametolewa kwa sababiu ya injuries. Why only Chelsea?
 
Mkuu me huwa niko nakocha yoyote yule atakaekuwepo,,

Kocha hata akiwa Mgunda bado nitamsupport, huwa naamini katika swala la mda,

Naiman hizi siku 28 zijazo Potter ataweza implement Mbinu zake na idea yake,

Mda aliopewa tim ulikuwa ni wakat mbaya sana based na ratiba iliyokuwepo, every 2-3 days uko na game inakuwa ngumu sana kuweka idea zako na mbinu zako

Ila sasa kwa haya mapumziko ya world cup ndio wakat sahihi sasa
Siku 28 zipi tena, wachezaji wanaenda WC hatabaki na wachezaji muhi.u. tukirudi mchakamchaka ni ule ule. Muhimu ni kwamba key players wataanza kurudi na tuchukulie WC haitatuletea majeruhi.
 
Trust the process eti daah mpaka tushuke daraja
Usipate shida. Kamera zinammulika kuliko tunavyodhani. Ila naamini mambo mawili
GP hatafukuzwa
Pia Chelsea itafanya vizuri sana baada ya January 23
GP ni kocha mzuri anakosa wachezaji wazalendo
 
Siku 28 zipi tena, wachezaji wanaenda WC hatabaki na wachezaji muhi.u. tukirudi mchakamchaka ni ule ule. Muhimu ni kwamba key players wataanza kurudi na tuchukulie WC haitatuletea majeruhi.
Tunaenda siku 28 mapumziko ya world cup, sio wote wanaoenda world cup + wengine mwisho wa mwez huu wanarudi kutoka majeruhi.

Hii itampa fursa ya kuweka style yake, n tim inaenda abu dhab kwa ajili ya training wa kipindi hichi
 
THE BLUES NA PROJECT UCHWARA

1. Mkurugenzi wa ufundi - Hayupo

2. Scouting team - Wapumbavu

3. Koulibaly - Mzee (Uwezo umeshuka)

4. Azip - Mzee (Uwezo umeshuka)

5. Auba - Mzee (Uwezo umeshuka)

6. Silva - Mzee (tegemezi)

7. Jorgnho - Mzito, Hana kasi, hawezi kukaba wala kupora mipira

8. Cheek - Uwezo wake ni kucheza crystal Palace/ Kubwa jinga

9. Cucurela - Uwezo wake mdogo, ana mawenge, anatia huruma

10. Kante - Majeruhi Yasioisha

11. Kovacic - Majeruhi Yasioisha

12. Sterling - Mchezaji Waruwaru, faida yake uwanjani ni ndogo kuliko hasara

13. Pulisic - Mtumishi hewa

14. Ziyech - Tumeshindwana

15. Harvetz - Tunapotezeana muda

16. Zakaria - Tatizo la kutokuwa na mechi fitness
Sasa hivi Chelsea ikicheza mashabiki wake wanacheza baikoko huku wakimwagiwa maji ili iwe ndembendembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom