Yaani kila nikiangalia mildfield yetu huwa natamani kulia ,yaani kiungo ya ovyo sijawahi kuona









Ollachuga kaamua kuachana na kushabikia Chelsea
Mkuu acha kuwapoteza maboya watu humuNakuwa serious Sasa naweka utani pembeni
Kama una beti mfate Chelsea , Hizi odd alizopewa Ni nyingi Sana
Hazitajirudia ,narudia Tena mfateni Chelsea mnaobeti
sisi Chelsea tutakuwa mabingwa msimu huu🤣🤣🤣Huyo si mwingine bali ni chalii ya Arusha OllaChuga Oc
hehehe Chelsea hii timu ya babu, timu ya bibi, timu ya baba, timu ya mama.Ollachuga kaamua kuachana na kushabikia Chelsea
kwani leo tumecheza mpira? Tumeupiga mwingi?Mkishinda mechi ya leo najipa ban mpaka baada ya World cup
Labda mchonge kombe lenu 😂sisi Chelsea tutakuwa mabingwa msimu huu🤣🤣🤣
Umeamua kuikimbia Chelsea had Potter atimuliwe?kwani leo tumecheza mpira? Tumeupiga mwingi?
🙁Labda mchonge kombe lenu 😂
Seriously hii ndo squad yenu vs Newcastle??kikosi chenu mbona dhaifu mno?
Umeamua ugeuke Mwinjilisti..chelsii ni noma🙁hakika nawaambieni kila goti litapigwa.
hiki kikombe tunakunywa hata Yesu hakunywa. Nyie kuku hamuwezi hizi showUmeamua ugeuke Mwinjilisti..chelsii ni noma
343Naomba line up iwe hii
Formation 4-2-3-1
---------------------- Broja-----------------------
Mount ----------------- Cheek ------------- Galagher
-------Kovacic --------------------Jorginho--------
Lewis Hall -----Koulibally -----Chalobah ----- Azpilicueta
---------------------- Mendy-----------------------
AU
Formation 4-3-3
Mount------------- Broja-----------------Galagher
Kovacic -------------- Jorginho ------------- Cheek
Lewis Hall -----Koulibally -----Chalobah ----- Azpilicueta
---------------------- Mendy-----------------------