Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cheusii Fc sasa hivi sio timu tena bali ni kigenge cha madalali/wapiga dili kipindi cha usajili.
Sijaona bado kikosi cha £300m kwenye hii timu, inasemekana kipindi cha usajili kuna watu walikua wanatoka na mifuko ya sandarusi utadhania ni wale maharamia wa skendo ya IPTL.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
images%20(17).jpg
 
Cheusii Fc sasa hivi sio timu tena bali ni kigenge cha madalali/wapiga dili kipindi cha usajili.
Sijaona bado kikosi cha £300m kwenye hii timu, inasemekana kipindi cha usajili kuna watu walikua wanatoka na mifuko ya sandarusi utadhania ni wale maharamia wa skendo ya IPTL.
Bora nyie ile £250m mmeokotapo Lisandro ,na babu Casemiro
 
Chelsea wamepoteza mechi 3 mfululizo Kwa mara ya Kwanza tangu 2015

Chelsea vs top 6 msimu huu

[emoji1666] vs. Tottenham
[emoji1666] vs. Man Utd
[emoji777] vs. Brighton
[emoji777] vs. Arsenal
[emoji777] vs. Newcastle
[emoji780] vs. Man City

Tajiri Miruzi Unasemaje huko? [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom