joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,942
- 40,174
Naona bado mnakiwewe cha Arsenal, dogo mshika bunduki kishawaweka.






Kutoka sare kwenye UEFA champions league ndo ilikuwa tiketi yake ya Thomas Tuchel kufurushwaWhy Tuchel alifukuzwa?Chelsea imekuwa mdebwedo mno
Ilkuwaje ukashabikia chelsea au umazaliwa mwishoni mwa 99Kutoka sare kwenye UEFA champions league ndo ilikuwa tiketi yake ya Thomas Tuchel kufurushwa
Sasa kaja huyu wala hakuna cha maana anafanya huyu Kocha.
Aubameyang na Havertz anawaanzisha benchi kwenye game ngumu kama hii..!
Wapi nimesema nashabikia Chelsea?Ilkuwaje ukashabikia chelsea au umazaliwa mwishoni mwa 99
Leo hii watu wanaanza mkumbuka Tuchel,Why Tuchel alifukuzwa?Chelsea imekuwa mdebwedo mno


Watu walikuwa wanamponda sana humu ndani,

Manina ,Hamna timu hapa
Nyie hamna kiungo mna kiungulia
Bado Huyu GP niko naye bega kwa bega maana tatizo ni wachezaji ila Kocha yuko vizuri sana tu.Leo hii watu wanaanza mkumbuka Tuchel,Watu walikuwa wanamponda sana humu ndani,
Tuliokuwa tunamtetea tukaonekana tunamahaba, acha tuisome namba
Cha kushukuru tunaenda mapumziko ya world cup tofauti na hivyo tungetafutana humu![]()

Timu kiukweli hatuna Mkuu, yani ni basi tu sababu mi nina starehe zaidi ya 8 mbali na mpira ndiyomaana siumii kiviiile.Manina ,Hamna timu hapa

Dah ! Na mke tumemkosa kweli Chelsea genge la wahuni ,hamna timu hapaChelsea mkishinda hii mechi nawapa mke wangu.
Ushindi wa mchongo ule aliekokota mpira toka kushoto mwa Chelsea alikuwa offside lakini si sababu Chelsea washindwe kuchomoa goli 1 hata kama New Castle alibebwaNyie mChelemweusi mpira umewashinda mnaanza kurusha ngumi eti mnawazuia Newcastle wasishangilie ushindi kwenye uwanja wao hivi mnaakili kweli?

Kolowizard jiheshimu basi

Mkuu me huwa niko nakocha yoyote yule atakaekuwepo,,Bado Huyu GP niko naye bega kwa bega maana tatizo ni wachezaji ila Kocha yuko vizuri sana tu.
Tuendelee kutulia wakati wa hatari, na hapa ndipo kipimo cha mashabiki maandazi wanapopatikana...![]()
Chelsea ni mabingwa wa UEFA champions league 2 times na Klabu bingwa ya dunia 2021/2022 lazima ushabikie hata kama ulizaliw mwaka huu lazima uipende tuIlkuwaje ukashabikia chelsea au umazaliwa mwishoni mwa 99
