Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kitu cha maana timu ilichofanya ni kupigana tu mwishoni mwa mechi. Mengine ni kama Fulham
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, mchezaji wa New Castle alimsukuma Kai Havertz, ndiyomaana alipaniki na kulipiza kisasi lakini si kama alidhamiria kupigana.
 
Kitu cha maana timu ilichofanya ni kupigana tu mwishoni mwa mechi. Mengine ni kama Fulham
Nimeshindwa hata kuangalia game yote to be honest ,I was so pised off ,hivi kwanini wamegombana ? Maana zikamaliza kuangalia game
 
Mwamba ni kicheko tu
Cupace20221112153424974.jpg
 
Wanakera sana hawa wachezaji aisee , unajua kuna ile kufungwa lakini inaangalia kwamba timu imecheza kwa kujituma ,kubuni na kusukuma mashambulizi na possession ya kueleweka lakini Chelsea inavyocheza yaani haikupi hata hamu ya kuangalia mpira to be honest ,timu inacheza as if ni timu ya mchangani aisee ,mi sijui hata nieleze vipi ,aliyeangalia hizi game toka game ya Brighton ,Arsenal ,City , Newcastle ataelewa nilichoandika hapa
Hii shida haijaanza kwenye game hiyo since mwaka umeanza huu, ndio maana tukitanguliwa tu huwa ni game over
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom