lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Mmepiga maiti wala hamna haya kushangilia. Timu ina injuries 8 tena wa first team. Mmecheza na development team na bado mmeshindwa kufunga magoli mengi huku mkishangilia. April Mungu akijalia tutakuwa wote hapo EmirateOllaChuga Oc lembu huwa mna kelele sana kwenye jukwaa letu kumbe team yenu ndio hii?Chelsea mnayoitambia?matak* yenu tumewanyanyasa kinyuma na mbele I think itakuwa mwisho wa kuja kupiga kelele kwenye jukwaa na Arsenal


