Msimu uliopita walishinda nini hawa wachezaji? Ushindi wa ujanjaujanja wa 1 bila unafikiri unafunction kwenye marathon? Niambie huyo kocha unayemsifia kuanzia second round ya msimu uliopita alishinda big match ngapi?Hawa wachezaji si ndio walitupa Uefa super cup na la dunia inakuwaje leo hii tunasema wabovu TT aliwezaje kuwafundisha

